hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Total-Blockade ndiyo hii sasa, Mlango bahari wa Hormuz hapiti yeyote bila idhini ya US!!!

    Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!! Magaidi wa...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hii ni akili au kukengeuka?

    Zamani tulikuwa tukijenga nyumba zetu, tutaweka bustani ndogo ndogo za mbogamboga na mtunda, mabanda ya mifugo midogo midogo ili utakapo hitaji chochote iwe ni rahisi kupata hapo ulipo. Nyakati hizi hatujui ni pepo gani ametuingia, tumehama katika hizo bustani na ufugaji mdogo mdogo, na...
  3. passioner255

    JamiiForums Tanzania Hongereni watanzania kwa kuikataa hii report ya feki ya tume ya Samia

    Nawapongeza watanzania kwa kuikataa report feki ya tume ya Samuya.Nimeona mapokeo katika mitandao mbalimbali,ukiacha maraboti wengi wamekataa. Tumeonesha kwamba taifa haiwezi kuponeshwa kwa uongo.tumekataa Uongo. Na msijali kwa sababu huwa mshahara wa dhambi ni mauti...
  4. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia, ni kauli dhaifu sana

    Huwa nachukua sana kusikia kauli kama hizi Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia” Demokrasia yetu bado ni changa Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko madarakani huzitumia kukandamiza wengine kuonyesha kuwa, demokrasia ya nchi bado iko katika hatua ya...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii code ya Mo kuna ambaye anaweza akai crack

    Ukipata maumivu, basi uko hai. Lakini kama huhisi maumivu ya wengine, kuna jambo haliko sawa ndani yako ni wakati wa kujitafakari.
  6. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Ripoti hii ya Chande, Je, Samia ataweza kuukwepa mkono wa Sheria wa ICC?

    Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake mbele ya jumuiya ya kimataifa. Kwa wataalamu wa sheria, je, ripoti hii inamaanisha kwamba Samia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ripoti hii ni ya Rais wasije wakatokea watu wengine wakadai ownesrhsip ya ripoti hii

    "Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa...
  8. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Hii ni raha jamani miaka hii

    Zamani hr wengi ni wanaume basi unakuta ukitaka kazi unatoa rushwa ya ngono unapewa kazi huyo ni mwanamke , sasa mwanaume anatoa hongo ya pesa anapewa kazi . Kwa miaka hii haki sawa wanaume na wanawake hr ni mwanaume na kazi wanataka mwanaume na mwanamke na wote wanatoa rushwa ya ngonoo dah...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mlio Dar, taarifa hii ni kweli by SATIVA

    Naambiwa leo Jiji la dar polisi wenye silaha wametapakaa kila kona. Ni wazi kesho CHANDE Anakuja kuongea visivyoeleweka Usitegemee jipya kesho jiandae kupasuka moyo mara 200..by SATIVA
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo timu ya Maridhiano kama kutakuwa na maridhiano

    Hawa wawepo ndiyo kutakuwa na maridhiano ya kitaifa.
  11. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbe hadi kwenye sekta hii wakenya wametuacha mbali? Imeniuma sana

    Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake wa kikenya wazuri sana, kuanzia ladha, muonekano,kuvaa na mengineyo. Kwanza hawapendi kujichubua...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii kuonyesha barabara ikiwa imeharibika imetengezwa kwa kutumia Akili unde

  13. R

    JamiiForums Tanzania NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Mwabukusi: Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama CHADEMA

    “Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama Chadema, na ndicho chama cha kweli cha upinzani hapa Tanzania, kuthibitisha hilo Juzi mmeona furaha ya watanzania Chadema walipofunguliwa kufanya Siasa” Adv. Boniface Mwabukusi - RAIS WA TLS "Hivi vyama vingine ukikuta watu wanajiita wanachama, jua kuna...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii siku rafiki zetu walipoteza maisha kama kuku PUMZIKENI KWA AMANI

  16. B

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria Kigoma Mjini tumechoshwa na tabia ya baadhi ya magari kufaulisha abiria wao kwenye Kampuni ya Takbiir bila ridhaa yao

    Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti "samahani gari halitoweza kwenda limekodishwa, hivyo mtapanda basi la Kampuni ya TAKBIIR". Wanafanya...
  17. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Siku ya Pili tu Jamaa nilimpiga IGNORE na sijam-UNIGNORE mpaka leo, do you know why? Usicheke maana hii haichekeshi

    Forget. Kifupi ni kwamba, Sikuwahi kuamini kwamba mtu anaweza akaku-follow then next day anakuonyeshea kidole cha kukusonta na kukusontea anakupiga masingi tena kwa issue ya kijinga kijinga kaabisa how comes? Kifupi ni kwamba, JF tupo watu wa dizaini nyingi, watu wenye mawazo chanya na hasi...
  18. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

    Wakuu Kuna muda nakaa nafikiria mpaka naanza kujiuliza aliependekeza Mimi nizaliwe aliwaza Nini Picha linaanza mpaka Sasa Nina umri wa miaka 23 Lakini Hali yangu haieleweki pangu pakavu tia mchuzi Nipo nipo tu Sina mke,Sina mtoto,Sina kiwanja,Sina nyumba hata kazi ya kueleweka sina Mwaka wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Judgement ya CHADEMA hii hapa

    Soma judgement ya CHADEMA hapa =========== At the High Court of Tanzania, the respondents herein instituted a petition against the applicants both jointly and severally for the following substantive reliefs: One, declaration that the applicants are in breach of section 6A (1), (2) and (5) of...
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Ujio wa chanjo ya UKIMWI ni habari njema kwa wazinzi. Rwanda kupewa chanjo ya Ukimwi

    hii inabidi pia tz ipewe ========== Rwanda imejumuishwa miongoni mwa Mataifa 12 mapya yatakayofaidika na ufadhili wa Serikali ya Marekani unaolenga kuongeza upatikanaji wa dawa ya sindano ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU), dawa inayojulikana kama Lenacapavir. Ufadhili huo...
Back
Top Bottom