Huduma Hii Ya Kulisha Ubongo Itasaidia?

Huduma Hii Ya Kulisha Ubongo Itasaidia?

Joined
Jul 8, 2024
Posts
13
Reaction score
21
Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi,

Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata,

- kukosa muda wa kusoma vitabu.

- lugha changamoto sio kwamba hawajui kizungu ila ni kwamba "hawatak suluba ya kubabaika kuelewa"

nina wazo hapa wewe useme kama litakuwa na msaada kwako,

Nalo ni hili kila wiki kupata maarifa na ufahamu mpya kutoka kwenye kitabu bila hata "kusoma kitabu".

Inafanyika hivi

Unakuwa kwenye kundi maalumu na humo kila siku unapata maarifa yote kwenye kitabu

Yaliyochujwa na kwenda kwenye point sio mlolongo ambao hauna maana

Na kila wiki kuna kuwa na saa moja la maswali na majibu kwa zoom au meet ya google,

Lakini haitakuwa bure 🤭.

Yani gharama itakuwa ndogo sana kuliko ile ya kitabu chenyewe

Na pia hata muda ambao ungeutumia kusoma kitabu

Zaidi ni kwamba "Ni mtu anasoma na kuandika vitu kwenye makundi kulingana na uhalisia Wa Tanzania"

Sio kueleza kile ambacho kinafanya kazi Ulaya na bongo kinafeli

Je hili litakusaidia kuhakikisha unalisha ubongo kila wiki? Toa maoni yako.
 
Nadhani wenzangu wanaweza kuwa wamuelewa vyema. Mimi sijadaka kitu. Sikulaumu wala sijilaumu kwa kuwa tuko kwenye mapumziko ya mwisho wa wiki na bongo zetu pia zimepumzika.

Wishing you a very happy ease Sunday
 
Hiyo sababu ya kukosa muda huwa ni geresha tu. Mtu anakwambia hana muda wa kusoma dakika 15 lakini ana masaa matatu ya kuangalia ubuyu Instagram na TikTok.
 
Back
Top Bottom