mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 837
- 1,539
Wakuu hii sofa ina kazi gani?
Nuneaton upeleke ukweni tu hiyo
Sijajua kazi yake ingine zaidi ya kukaa/kujipumzisha.
Aaanhaa!Kumbe ni kwa ajili ya kung'olea meno?Sasa si mngesema mapema tu?
Hutaki atazame video?Kuna dogo mmoja (mdogo wa mke wangu wa kiume) anakaa hapa kwangu na hataki kuondoka.
Sasa ngoja ninunue hiyo sofa, labda akishagundua matumizi yake atatanga na njia.
Video gani?Hutaki atazame video?
And you will never see him again 🤣🤣🤣Kuna dogo mmoja (mdogo wa mke wangu wa kiume) anakaa hapa kwangu na hataki kuondoka.
Sasa ngoja ninunue hiyo sofa, labda akishagundua matumizi yake atatanga na njia.
Hiyo ndo nataka.And you will never see him again 🤣🤣🤣
NakaziaHiyo ndo nataka.
Video za kituruki zilizotafsiriwa kwa kigogo akiwa kalala kwa utulivu.Video gani?