hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

    Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wageni Milioni 27 Wamerundikana South Africa, Idadi Hii ni kubwa sana, Naunga mkono Watimuliwe

    My Take Haiwezekani watu wameharibu Nchi zao harafu wanakimbilia Nchi zingine nako wakaharibu. Watu mil.27 ni wengi sana iwe takwimu za kweli au za kupika ila Watimuliwe. Nendeni Nchi za watu kidogo sio kurundikana kama ni kwenu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zitakazonufaika na fursa hii ya soko wazi la China

    china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa. Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja na mazao ya kilimo, madini na bidhaa nyinginezo; badala ya kuwa mazao yaliyoongezwa thamani, hatua...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba 3 vya kulala simple hii hapa

    Habari leo nimekuletea raman ya nyumba ya vyumba 3 vya kulala ina vitu Vifuatavyo master bedroom vyumba 2 vya kulala visivyo na vyoo seble jiko store baraza ya mbele baraza ya nyuma na choo cha wageni inachukua Mita 12 kwa mita 11 unaweza ukaangalia baadhi ya kazi zetu pia hapa...
  5. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Content Creators wawekewe sheria hii

    Leo kila mtu ana simu, data na account ya TikTok, YouTube, Instagram au Facebook. Hilo ni jambo zuri kwa uhuru wa taarifa. Lakini pia limeleta tatizo kubwa: Watu wengi wanafundisha mambo nyeti bila ujuzi wowote. Tunashuhudia: Watu wanafundisha uwekezaji wa uongo Watu wanashauri dawa bila...
  6. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hivi vibinti vya 2005 hadi 2010 nani ameviroga? Hii stamina na libido vimeitoa wapi?

    Hivi vitoto sijui vililishwa nini maana ni vina stamina sio ya kitoto, unaweza kukipelekea moto kwa speed ya 5g ila ndo kwanza kinasema uongeze speed. Unachapa hadi bao 5 ila kinataka kuendelea, wakuu hapa nimekifungia ndani ila nahisi mimi ndie nimefungiwa ndani. Hivi vibinti ni gani aisee?
  7. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Elezea hii kitu kisayansi

    Kama video inavyoonyesha.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane sasa hii nchi haina Wazee bali Wahuni waliozeeka

  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hakuna tume duniani imekutana ana kwa ana na watu 6205 kwa siku 153. Tume hii tumekutana na watu hao

    Jaji Chande ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, ameyasema hayo Leo, 28 Aprili 2026 Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa tume ya Uchunguzi wakati na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29 2025 na waandishi wa habari. Jaji Chande amsema kuwa kwa siku Tume ya uchunguzi...
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii law ni very useful nimeitumia na imefanya kazi 100%

    Mind is a beautiful thing.
  11. P

    JamiiForums Tanzania KERO Hii foleni Mbezi Beach barabara ya chini ni kiboko, hadi bajaji na baiskeli zinakwama!

    Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee? Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo. Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hali hii sijui kama ninayo mimi peke yangu au wengine wanayo ?

    Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila...
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii sio ile ya kina Dkt. Slaa, hii ya sasa inavizia kufanya mikutano kwenye mikusanyiko kama masokoni na stendi

    Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu. Nasema haya kwa sababu siku za karibuni siioni CHADEMA Ile ya kina Dkt. Slaa ambayo ilikuwa msingi wa kujenga Chama imara, siioni Ile CHADEMA...
  14. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Kabla sijapona vizuri, hapa hospitali wananiambia nirudi nyumbani. Hii kweli haki wajameni?

  15. PLOII

    JamiiForums Tanzania WHAT A SHAME TO Viktor Gyökeres; Arsenal tunatahitaji Mchezaji Bora kwenye lile eneo la Victor better more to use Gabriel Jesus sio hii takataka

    Guys wajinga sio Bongo tu na Mwangosi na Dube wana Role Model wao huku England. I was very FLABBERGASTED a such Professional Player, you turn a clumsy cross while you've an option to score or give a cross earlier before the critical deadlock from the two defenders. Number of goals this season...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kila nikienda kanisani naambiwa niwaombee viongozi wakuu wa nchi je nifenyeje kuepuka hii dhambi?

    Kwakweli kuwa mnafiki mi siitaji kamwe Lakini nifenyeje jaman Mimi siitaji kuwa mnafiki Mimi siwezi waombea watu walio jiweka madarakani kwa kuuwa watu 518 please please padri padri Baba yangu Paroko wa ushirika wa karanga mm.ukiwataja tuwaombee Mimi ntakuwa nawatukana Sasa tatizo ni kutukania...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya bunduki alieonekana nayo mlinzi wa raisi mapema leo baada ya kashi kashi katika hafla ya chakula cha jioni?

  18. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Pikipiki inageuka kuwa ndege ya kivita

  19. M

    JamiiForums Tanzania Message hii huwa inafanya weekend iende vizuri sana lakini kwa introvert unamharibia kabisa

    KESHO SAA 10 JIONI HAKIKISHA UNAFIKA KWENYE SHEREHE / KIKAO CHA xxxxxx. USIKOSE ! Ni message ambayo huwa inapokelewa vizuri sana na watu wa kawaida wakiwaza kukutana na watu wengi pamoja na vyakula lakini kwa Introvert huwa wanachukia sana 😂😂
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Total-Blockade ndiyo hii sasa, Mlango bahari wa Hormuz hapiti yeyote bila idhini ya US!!!

    Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!! Magaidi wa...
Back
Top Bottom