hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wataweza kuifanya hii operesheni??

    Wanajiandaa kutuma wanajeshi plus special force zao zote kwenda Iran kubeba vifaa vya nyuklia plus rasilimali zote zinazohusika na urutubishaji !!!Wataweza?? Pentagon eyeing megaraid to steal Iran’s nuclear stockpile – media The Pentagon is contemplating what could become “the most...
  2. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  3. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Civilian-Coin kutafuta MKE au girlfriend ni hii

    https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
  4. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Community Coin Banks/ Street Coin Banks: Hii ni kwaajili ya sekta au watu wasio na mifumo rasmi ya maisha

    Habari Tanzania !.... Naomba kuweka hapa jukwaani wazo la kuwezesha jamii au watu ambao wanakipato cha chini sana; kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kuwasaidia kutoka katika umasikini na kupata thamani ya kufanya maisha wayatakayo. Naiomba jamii ipokee hili wazo. Tuanzishe Benki za kutunza Sarafu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya Radiolojia katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Wakuu, naomba mlifuatilie suala hili, mimi ni mgonjwa ninayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa-MOI. Kuna changamoto kubwa katika idara ya Radiolojia, hasa kuhusu kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya MRI na CT Scan. Wagonjwa hufanya vipimo lakini majibu huchukua muda mrefu kutoka, wakati...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wachaga kwanini hamsemi mbege inanenepesha namna hii?

    Huyu Dada analetaga mbege kwenye bar moja maarufu jijini Darusalama. Mfanyakazi wake kibinti cha 2008 ndo aliesababisha niwe nanunua mbege hapo. Ghafla nimekuwa addicted na mbege plus nimenenepa.... Naonekana sasa kama mgonjwa wa akili kwa sababu naamini unene ni ugonjwa wa akili. Kunenepa...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Sasa kidume unakuwa shoga, nyama kama hii ale nani?

    Kidume unaamua kuwa choko, unachagua kupelekewa moto, sasa watoto wazuri kama hawa, awale nani? Baadhi ya vidume mliochagua kuwa machoko mnafanya kizazi chetu cha kiume kichukuliwe poa sana. Mimi ningekuwa Rais wa nchi hii ningepiga risasi machoko wote. Najua mpo humu nawamaindi ile mbaya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka... Ni nadra sana kupata...
  9. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
  10. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapenda muziki tu

    Haya wakuu tangazo hilo hapo soma NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts 😀😀😀😀 kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu...
  11. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu

    Haya wakuu tangazo hilo hapo soma NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts 😀😀😀😀 kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu....... Nakusukia...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hii picha imebeba ujumbe mzito sana

    Ujumbe huu ni mzito sana. 👇
  13. Trainee

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa "minara" kwenye magari ya abiria kusini unawakwaza wateja/wasafiri, mamlaka ondoeni hii adha

    Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani. Hatukatai vituo hivyo lakini kinachokera ni kwamba vituo hivyo vinamcontrol kila mtu anayehusika na gari kiasi kwamba nyinyi abiria...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Picha hii ya Dr. Bessigye akiwa Lukwago gerezani, imechapishwa na Muhoozi Kainerugaba?

    Je, ni upi uhalisia wa picha hii?
  15. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Wenye Uzoefu na hii JBL BAR 1300MK2

    Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana Full Specifications JBL Bar 1300XMK2-11.1.4 Channel Soundbar System With Detachable Surround...
  16. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Hii kampeni OPOWAZ ya tarehe 8/8/2026 ina ukweli wowote?

    8/8/2026 utafanyika uzinduzi mkubwa sana wa kampeni ya OPOWAZ hii ni kampeni rasmi ya kuwaondoa wazanzibari Tanganyika na watanganyika warudi nyumbani kila mmoja akae kwake ajenge nchi yake hivyo basi kama umepangisha mzanzibar jiandae kumuondoa kwaamani kukwepa hasara , Nduguzetu watanganyika...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama... Haya ndio madai ya chawa wa...
  20. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Wanaita T3 [titi, tumbo, t*ko] yani mdada yoyote akishakuwa na combination hii ilionyooka basi maisha yake ya hapa duniani anachukuliwa kama malkia

    Wadada wote JF wenye T3 sema oyeee❤️ Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele, tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake haina nyama bali imetoa njia kuruhusu hips zitoe shangwe alafu unakuta makebo ndio usiseme, yapo curvy...
Back
Top Bottom