Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela.
Wadada...
Habari za mida hii wadau!?
Yani nipo napiga hesabu nifanyeje haya Maisha naona yanazidi kupiga chenga tu halo inakuwa ngumu, ukimuomba mtu hela anasema mitano tena sasa hiyo mitano tena ndo ntashiba ama au ni hela,
Tufike muda tuoneane huruma jamani.
🤦🤪🏃
Naona hizi taarifa jamaa amekamatwa na furushi la vinyonga alilokua anasafirisha kimagendo kutokea Tanzania kupitia Ethiopia, yaani huko nje vitu kama hivi ni dili la kupiga hela, ila wenzetu wa kusini wao wapo wapo tu. Mambo kama haya yangetendeka enzi za mababu ingeeleweka, ila yanatendeka leo...
Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
Na pia kama huyo Dada kaja na pisi nyenzake kibwena na wamekula vyakutosha .
Halafu salio lako linasoma kidogo.
Tafadhali
Tupigie tutakuja na polisi kukukamata kama muhalifu.
Na ikiwa kuna mwingine yupo jirani nae ana msala kama wako.
Aseme tu "mnampeleka wapi jamaa yangu jamani?"
Nae...
Habari wadau.
Kitendo Cha kuhonga katika mapenzi Ni kitendo Cha asili.toka zama za mababu wanaume walikua wakiwahonga wapenzi wait vitu mbalimbali mfano khanga,vitenge,nguo,viatu,vipodozi,hell na Vito vya thamani. Mambo haya yalifanyika kabla ya kumpata mwanamke na baada ya kumpata mwanamke...
Juzi TRA ya Tz walisema wamekusanya trilioni mbili, mitandao haikukalika kwa namna mataga walisifia wengine wakisema Tanzania sasa inaipiku Kenya kiuchumi, haya hapa KRA imekusanya mara mbili ya hiyo...
===============================
Kenya Revenue Authority (KRA) has signaled a speedy economic...
Nilimtumia mtu fedha kutoka kwenye akaunti yangu ya halopesa Ile hela haikufika ila kwenye akaunti yangu wakaikata! Niliwasiliana na huduma kwa wateja bila mafanikio!
Ni wiki sasa ile hela bado hawajanirejeshea!
Wadau ninataka kwenda kuwashtaki.
Eti jameni mume wangu amejenga kijumba haijaisha bado. Tunakula dagaa na nyama mara moja moja, Je anatesaje wanae?
Kwa kuwa ni kweli ujenzi hauishi siku moja, sawa ujinga unakujaje hapo
Habari za humu wajameni!? Kila kitu kipo good oke.
Wajameni naona siku hizi kuna huu msemo sio kwa wanaume wala wanawake tena kwao ndo umezidi kwamba ukituma hela utume na ya kutolea.
Sasa sijajua hiyo huduma ya ukituma utume na ya kutolea ipo katika mitandao yetu hii tunayotumia pia kama...
Wajuzi naomba msaada.
Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa.
Msaada
Habari!
Natumai mu wazima! Leo nataka kutumia jukwaa hili kuwakilisha kilio cha wastaafu wa shirika la reli Tanzania (TRC) ambao kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakifatilia mafao yao kwenye mashirika ya hifadhi za jamii bila ya mafanikio, sababu kubwa ikiwa ni kuwa shirika halikuwa likipeleka...
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani...
Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?
Na kila siku tunajilabu tuna utajiri uliotukuka, naikumbuka ile sentensi ya Mwalimu Nyerere. Watanzania Uchumi mnao...
Tufanye...
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha.
Sasa ukija swala la kudo...
Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai kidogo. Azam wao wako vzr tangu mwanzo.
Me naamini kabisa Simba au Yanga wanahela zipo kwa wapenzi...
Ndio kama hivyo, jamaa ametoka kimasomaso kwa kugema "muratina" aina ya pombe ambayo huku sio halali. Wazungu wameichangamkia na kuachia dollars $$$$
Foreigners enjoy Muratelia drink in the UK
MURATINA
A Kenyan man is minting money in the UK by brewing and selling the locally produced...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.