hela

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kudhulumiwa hela zake, Sven Vandbroek (Kishingo) aishitaki Timu ya Simba FIFA

    Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni, kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100. Ngoja tuone ukweli ni upi.
  2. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Kama huna hela usiombe namba

    Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mnaotutambia kujenga kila kitu kwa hela ya ndani, mnadaiwa kila mmoja milioni moja

    Ndugu zetu kila siku mnatutambia namna kwenu huko hela zipo na mnafanya vyote hivyo kwa hela ya ndani, ilhali taarifa zinaonyesha namna deni lenu limekua ghafla kwa miaka michache, heri sisi ambao huwa tunakiri kufanikisha hii miundo mbinu yote kwa mikopo japo pia uchumi wetu ni mara mbili ya...
  4. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Mwanaume kupelekeshwa na Mwanamke na asiongee chochote?

    Iwe katika mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanaume wamekuwa wakipelekeshwa na wanawake zao na wasiongee kitu uwe na hela usiwe na hela. Mwanaume utapelekeshwa kama mtoto huongei kitu wengine wanaenda mbali zaidi hata mama yako anamdharau na ndugu zako unaona kabisa hayupo sahihi ila...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Usiombee kukosa hela

    Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako? Au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu aliyedondosha? Kweli wanaume tumeumbwa matesooooo, matessooo kuhangaika. Nina salio la buku (1000) kwenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kupeleka hela katika mifuko ya Watanzania wote

    Kwa kipindi cha miaka mitano asilimia kubwa ya watanzania katika ngazi mbalimbali yaani kuanzia ngazi ya wafanyakazi wa sekta binafsi , wamiliki wa sekta binafsi, wafanyabiashara, watumishi wa umma, wajasiriamali mpaka wanafunzi wa vyuo vya Juu makundi yote haya ilikuwa kila kukicha kauli kubwa...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waganda waiga Watanzania kuleta wenye hela zao kutibiwa hospitali ya Nairobi, Kenya

    Hii Nairobi hospital inazidi kuwa ya msaada mkubwa sana kwa majirani, ila wenye hela zao sio makapuku wanaoimbishwa nyimbo za uzalendo dhidi ya corona huko kwao. Erias Lukwago, Robert Kyagulanyi alias Bobi Wine's lawyer was rushed to the Nairobi hospital on Sunday, April 11, for treatment after...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya hakuna, halafu hela mnakula wenyewe, Good God will pay you

    Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri. Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nikiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi. Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa? Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa. Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha...
  10. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza hela kwa scenes za mapenzi kwa wapenzi au wanandoa

    Unajua kuna fursa nzuri sana ya kupiga hela nyingi sana na kukufanya kuwa famous kwa muda mfupi kama nchi yetu ingekuwa haina mambo ya kishamba. Nayaita mambo ya kishamba kwa sababu dunia imebadirika sana lakini nchi yetu haitaki kubadirika. Kuna vitu kwa nchi zingine ni vya kawaida sana lakini...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?

    Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini? Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela. Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanapiga hela sana kwenye ufugaji wa konokono - majirani mnaoshinda kwenye pool table mna la kujifunza

    Hawa viumbe ni dili kali sana Ulaya, hivyo ukijiandaa vizuri kwenye kipande kidogo cha ardhi uwakuze, utapiga hela na kujiajiri na kuepuka hayo maisha ya milegezo kwenye pool table. Dr Paul Kinoti in a snail farm. TWITTER Farmers who have ventured into snail farming have been minting good...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara ila sina mtaji

    Wadau mambo vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono nitashukuru. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo za...
  14. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Baada ya siku 21 waliosema hela zimepotea mtaani sasa wataanza kuokota hela mitaani

    Wote ninaowajua walioshangilia msiba na kusema hela sasa zitajaa mitaani na mifukoni mwao bado ni masikini wa kutupwa na nyumba walizokuwa wanajenga wamezikimbia maana gharama za maisha zimepaa haijapata kutokea. Tangu tarehe 17 mwezi Machi Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba niweke wazi kwa wale wanaodhani ya kwamba hela iliyopo NSSF ni ya Serikali

    Habari, fedha anayokwatwa mwanachama wa NSSF siyo ya serikali bali serikali inaisimamia tuu mifuko hii. hii fedha ni fedha ya wanachama. Nashindwa kuelewa pale Mtu anaposema watanzania tunapenda vitu vya bure. Naomba nikuelimishe kidogo wewe unayesema tunapenda vitu vya bure. Kama kazini...
  16. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Viwanja vyote vilivyomilikishwa kimakosa kupigwa mnada ili Serikali ipate hela

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametanza rasmi kuanzia July 01 2021, kuanza kwa zoezi la Kitaifa la uhakiki wa umiliki wote wa ardhi kwa kutumia kitambulisho cha NIDA kwa Nchi nzima. “Tunataka Wamiliki wote hewa waliomilikishwa kimakosa, kiwizi, kiutapeli na...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Anakotupeleka Rais Magufuli ni kuzuri; Serikali itakuwa na uwezo wa kumlipa hela kila asiye na kazi

    Wengi hushangaa wakisikia mtu asiye na kazi nchi zilizoendelea kuwa hulipwa posho kila mwezi na serikali Siri yake ndogo tu ni kuwa miradi mikubwa ya maendeleo mila pesa nyingi kama mabarabara, hospitali, Shule, njia za reli, umeme, maji nk yote ilishaisha kujengwa. Hivyo serikali zingine...
  18. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Miundombinu unapigwa hela barabara Mwenge - Tegeta inayofanyiwa marekebisho Lugalo

    Wana jf, Waziri wa miundombinu kakague lami inayojengwa Lugalo jeshini, sehemu iliyomalizika ina mawimbi ya kufa mtu. Watanzania wa sasa tuko macho hatuibiwi kodi, Lami mbovu mno haitamaliza mwaka, waoondoeni au wairudie. Ushahidi nenda mkajionee msijesema hamkuona.
  19. OLS

    JamiiForums Tanzania Msinipigie simu, na hizo hela msinipe

    Achana na hustles za mtaani ndugu zangu, Jamaa yangu alihudhuria mafunzo ya ujasiriamali SIDO ili aweze kupata hela za mkopo ambazo kwa kipindi kile zilikuwa nafuu sana. Basi jamaa alitoa hela ya mafunzo akitegemea hela nyingi sana. Mafunzo yalikwenda kwa miezi miwili walipomaliza akaambiwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Yanga mchawi wetu ni hela, wachezaji wa bei rahisi hatuwezi kufanana na mtani ambaye hana ubahili

    Habari wadau, Kama mwanayanga nina huzuni na matokeo ya mbeya.. na pia nina huzuni ya wivu wa mafanikio ya mtani simba. Natambua kabisa mchawi wetu yanga ni hela kama kuna mwanayanga hatambui hilo naomba alitambue. Kikosi cha simba kina watu wa gharama wengi tu. Ndio maana ana uwezo wa kupata...
Back
Top Bottom