Turogeni tupate hela ndo mtudange sio unaenda kuroga tu niwe wako then hako kasalio kadogo nilikonako unataka ukafyonze kaishe then nichalale
Sasa niroge niwe wako kisha niroge tena kipato changu kiongezeke hapo sasa nidange ila kwa staha sasa sio unakomba hadi mfupa! Hata chemchem huchimbwa...
Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela ananidai aliniazima.
Au anaweza tu akaamua akatuma msg "nakuja leo" utafikiri labda kuna hela kaweka...
Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya...
Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi.
Vifaa.
1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles
2.Gloves
3.Mask
4.Viatu vya kufinika miguu.
5.Brash ngumu kubwa na
ndogo.
NAMNA YA KUSAFISHA
Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥
1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/=
Gharama za uzalishaji
Karanga: tsh 2000 -2500 Tuch. Max. Tsh 2500
Vifungashio , lebo na lakiri: 1000 per 1 kg
Umeme: 100 per 1kg...
Habar JF..!
Mimi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana JF naombeni mnishauri biashara gani naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa.
NB: Mimi kama...
Ndugu zetu mlioko Marekani na kwingine hongereni sana, endeleeni kuchuma huko na kuvutia nyumbani, mojawapo wa faida za uraia pacha ni kwamba hautaishia kufanya kazi za wabeba mabox kama unayo elimu yako unafaidi mazima mazima, majirani zetu walionunia uraia pacha imewacost diaspora wao, unakuta...
bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia.
Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...
Habari wakuu
Maisha kwa sasa yanaenda kasi sana, Sisi vijana katika harakati za kutafuta pesa tunakutana na changamoto nyingi sana ,sasa kuna hii njia inaitwa "kupiga hela online ,ukiwa na simu yako na bando " Mimi nimeshafanya uchunguzi sana online businesses wanazosema ni zipi hizo au ni hizi...
Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani...
Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine?
Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa
Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma,
Jf kuna wa somi wengi na...
Naheshimu sana huu msemo"Kuna hela naisikilizia".Nashangaa watu wanaubeza na wanadharau pale wanapoambiwa.
Mtu anayesema hivi ina maana moyo unataka lakini pesa haipo kwa wakati huo kukamilisha utatuzi wa hiyo shida.Kuna vingi vinachangia.
Kila mtu akitimiza wajibu wake kwa wakati hili neno...
Tusiwe na double standards. Halima et al wanalipwa mabilioni bila kuwa wabunge kama sheria inavyotaka na Mamlaka Kuu za Serikali zimebariki including the Executive, basi waacheni na wa Wizara ya fedha nao "wapige" pesa kama akina Halima wanavyopiga pesa.
Simple!
Za asubuhi wadau,
Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki.
Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine.
La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa.
Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane...
Katika kitabu chake cha 'Mzee Rukhsa, Safari ya Maisha Yangu', Mwinyi anasema siku hiyo alikuwa anarejea Newcastle kutoka London alikokwenda kwa ajili ya likizo ya chuo.
Anabainisha kuwa kipindi hicho alikuwa anaishi kwenye nyumba iliyokuwa inamilikiwa na Kanisa la Methodist, ikipokea wageni...
Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID.
Pesa ya kulipia gesti na pombe napeleka VICOBA tukutane May 2022.
Hivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba unapumulia oxygen.
Aisee kuna wadada warembo "pisi kali" ambao hawapendi kabisa hela, kontrare tu popyula bilifu. Mimi binafsi nimeshakutana na wadada kama watatu wanne hivi ambao pamoja na kuwa nao kwenye mahusiano kwa muda mrefu (mwaka na zaidi) hawakuwahi kabisa kuniomba hela na hata pale walipoomba ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.