Kwanini Mwanaume ukilala na Mwanamke usipompa hela baada ya tendo anakudharau sana?

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha.

Sasa ukija swala la kudo iwe mchana au usiku mkimaliza anasikilizia unamtoa na sh. ngp usipomtoa ela anakudharau sana na huwa wananungunika sana.

Hivi wadau ukitoka kudo lazima umtoe mwanamke hela wakati starehe mmesikia wote na zaidi wao ndiyo wanasikia raha zaidi? Hapo umemtoa out mmekula, kunywa, hela ya lodge n.k, ghara
 
Huu uzi umenikumbusha ,mwaka juzi nilimpata dada mmoja wa kichaga nikampanga akaelewa,tukaenda lodge akataka bia kwanza,nikaona sio kesi tukaenda kupiga mbili tatu,ajabu tunaagiza bia yeye akaagiza aina ya savanah wakati huwa anakunywa Serengeti lite,nikaona sio kesi nikajipinda nikatoa akiba iliyokuwa chimbo tukateketeza kama 70,000 hivi

Kwenda ulingoni yeye katulia tu,nikishika hata maziwa hataki anadai mm nicheze na K tu na maziwa ni kwa ajili ya mtoto! Nikapata changu kimoja akataka pesa nikamwanbia cash nimemaliza labda nimrushie tigopesa akakubali,nikamtumia 50,000 tukaagana nikamuacha,baada ya dakika 2 nikarejesha huo muamala

Niliambulia matusi mpaka ya kichaga,nikamwambia nilikutumia kimakosa hiyo hela ni ya maziwa ya mtoto yako ulikunywa Savannah Jana,kisha akala block
 
Mkuu kuepuka hayo , Fanya uoe tuu. Sema jipange kumtunza tuu mkeo
 
Hilo la mabinti kubebana na wenzao tulishalitafutia ufumbuzi kuwa akiwaleta wenzake na upo vema mfukoni unawalipia kama kawa ila hakikisha hiyo siku inakuwa special kwaajiri ya hao marafiki zaidi ya huyo dalali wa mtoko aliyewadalalia wenzake mtoko bila kukupa taarifa.

Na uhakikishe ukiondoka hapo una namba za mashemeji wote hapo na unawatumia vocha ila yeye hapati.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom