hela

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Hela za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu, mpaka pale watakapo lipa Hela ya usajili na kusajiliwa chuoni

    Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala. Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkiwa mmekaa zenu Maskani halafu Mama akampa Mtoto Hela akanunue Kitu Dukani kisha akiwaona anampa Maelekezo haya Mtoto huwa anamaanisha nini?

    Unakuta mmekaa zenu Maskani ( Kijiweni ) tena hasa Kipindi hiki Joto lililopo Jiji na Kune Boy ( Dar es Salaam ) ili mlipunguze Mwilini mwenu unakuta Mama anamtuma Mtoto wake Dukani kununua Kitu lakini akiwaoneni tu nyie mmekaa anaongea kwa Msisitizo na Sauti ya juu kabisa huku akiyasema haya...
  3. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Toka lini Mwanaume anayejua kutafuta hela ukamtishia eti haumpi hela?

    TOKA LINI MWANAUME ANAYEJUA KUTAFUTA HELA UKAMTISHIA ETI HAUMPI HELA!? Leo 22:05hrs 19/11/2020 Ukimtishia Mwanaume anayejua kutafuta hela eti haumpi hela,hawezi kutishika,Chuma kinakusanya trillion 23 kwa Mwaka,sasa EU wanamtisha na 1.6 Trillioni? Kweli jamani! Ni kweli trillion 1.6 inajenga...
  4. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

    Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy. Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye...
  5. G55-MGODI

    JamiiForums Tanzania Tutafuteni hela vijana

    Wanajamiiforums tafuta pesa zako upunguze kumuita kila mtu, "MKUU, KIONGOZI,MKURUGENZI, BOSI!" Unajiabisha sana mwanangu. Tafuta pesa kijana wangu ili hata Polisi wakikukuta umetulia sehemu wakuulize "MKUU KUNA SHIDA YOYOTE?" Hata wewe binti yangu tafuta pesa hata siku unapewa appointment...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nani wanaongoza kuomba hela?

    Namba moja michepuko-hao ni balaa! Namba mbili mama chanja(mamsap) Namba tatu ndugu na jamaa! Namba nne, kanisani/msikitini! Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k. Namba sita chama.......! Mwana JF weka nawe wa kwako!
  7. TENGEFU

    JamiiForums Tanzania CRDB wanachukua hela zetu kwenye akaunti bila idhini yetu

    Kwa mara nyingine tena CRDB wameendelea na tabia yao ya ku draw hela kwenye akaunti za wateja bila idhini yao. Mimi ni mmojawapo niliyepokea ujumbe unaosema "Dear customer, TZS 10,446.43 has been drawn from account 0212 for queries call 0755197700, popote inatiki. Hii ni akaunti ya USD na mpaka...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Waangalizi wa ndani walalama kutokuwa na hela

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera amewashauri waangalizi wa ndani wa uchaguzi kuwa na fedha ili wawe na uwezo wa kufanya kazi hiyo badala ya kutegemea wafadhili. Ametoa kauli hiyo leo wakati NEC ilipokutana na kufanya mazungumzo na watazamaji wa uchaguzi ndani na nje...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Brazil: Kiongozi mwanasiasa akutwa amesindika kitita cha hela kwenye makalio

    Tena mtu mzima mwenye heshima zake kama kiongozi, ameanikwa kwenye runinga ya taifa la Brazil na sasa taarifa zake zimeenea duniani kote Chico Rodrigues reportedly had 30,000 reais (more than £4,000) in his underpants. Photograph: Adriano Machado/Reuters Jair Bolsonaro’s efforts to portray...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wale ambao tulikuwa hatuna hela tangu kitambo ila sasa tunasingizia Corona tukutane hapa

    Wakuu binafsi mm sio tajiri ila nina ndoto za kuwa tajiri, hata hivyo namshukuru mungu maisha yanasonga japo napata ka hela kakubadilisha mboga Mwenyezi Mungu apewe sifa na utukufu. Sasa hivi corona amekuwa mtetezi wangu mkuu, yaani hata mtu akiniomba hela na nikiwa sina na singizia corona...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mafao: Kwanini Hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?

    "Kwa nini hela zangu zitungiwe sheria za ajabu?" Amesikika mdau mmoja aliyeachishwa kazi na bahati mbaya kupata ajira nyingine imekuwa ngumu kwake. Alipofuatilia mafao yake NSSF kaelezwa akae miezi sita ndio atalipwa stahiki zake na atakuwa akilipwa asilimia 33 ya mshahara wake wa awali Huyu...
  12. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Baada tu ya kampeni maana walipewa hela ili wawepo wakasema mkataba umeisha

  13. S

    JamiiForums Tanzania Kurudishia hela AliExpress na ebay

    Wanajamvi naomba mnisaidie kunielewesha nimenunua vitu AliExpress muda wakuvituma umepita mzigo sijapata je nazidai kwa kutumia njia gani wanirudishie eBay pia nimenunua vitu seller amecancell je nafanyaje hela yangu warudishe.
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

    Wasalamu wakuu! Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza kujirahisisha kwa wanaume. Kama mnavyojua sisi wanaume wema wetu huishia kujitunukia nyuchi. Usikubali...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela

    Mwanamke anayekupenda kikweli hawezi kukuomba hela ila yeye ndiye atakupa wewe. Atafanya kila awezavyo akutafutie vizawadi ili ujue anakupenda. Atatumia gharama zake mwenyewe. Mwanamke anayekupenda anakutaka wewe tu kama ulivyo anakuhitaji tu wewe. uwepo wako kwake unatosha, hahitaji pesa yako...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ukiishiwa hela, baadhi ya watu wa karibu wanakucheka, na kukukejeli waziwazi na kisirisiri

    Nimeobserve hili swala, unakuta MTU amepiga bingo, labda kalipwa pensheni, au kashinda betting, au hustle zake zimemlipa pesa nyingi kidogo, watu wa pembeni wanaanza kusema, ahh flani kapata million 200, zile pesa zitaisha tu.. Kwamfano ikitokea umefilisika, watu wa karibu, especially marafiki...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mtu mweusi maskini akipata hela nyingi anakuwa limbukeni

    Inakuwaje wanaJF! Ni ulimbukeni kujirokodi ama kupost I na mihela mingi. It is a very sad display and lack of humanity and dignity.
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukosefu wa hela ya kupiga kampeni wageuka neema kwa vyama vikubwa nchini

    Njia pekee ya kukabiliana na gharama za uchaguzi ingekuwa kutoa ruzuku na misaada kwa vyama vya siasa nchini. Kukosekana kwa hela ya kumudu gharama za kupiga kampeni imesababisha vyama vidogo kuviunga mkono vyama vikubwa kwenye mbio za uchaguzi. Kama kungekuwa na ruzuku ya kupigia kampeni TLP...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaleta siasa kwenye hela za mafao?

    Sababu kuu ni kwamba mifuko hiyo iko hoi. Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara. Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati...
  20. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata SMS za mtu kupitia watoa huduma (mitandao) na kama polisi Tanzania wanafanya polygraph test

    Nimeona sio mbaya kuingia kwa JF kupata information zaidi sababu kuna watu wana knowledge nyingi sana na mbalimbali hapa. Katika saiti yangu moja ya kazi, kuna nyumba za wafanyakazi. Kijana mmoja mwangalizi mkuu wa saiti hio, amekuwa akitunza hela kwenye ndoo sababu wazazi wake walipitia tatizo...
Back
Top Bottom