Halotel wameshikilia hela yangu nimekusudia kwenda kushtaki

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Nilimtumia mtu fedha kutoka kwenye akaunti yangu ya halopesa Ile hela haikufika ila kwenye akaunti yangu wakaikata! Niliwasiliana na huduma kwa wateja bila mafanikio!

Ni wiki sasa ile hela bado hawajanirejeshea!

Wadau ninataka kwenda kuwashtaki.
 
Kama ni hela ndogo fanya Kama umetoa sadaka! Kama ni kitita taslimu usikae kiboya wahi... Mkuu usisahau line yako uwe umesajili kwa mialama ya vidole wasije kukuletea u mbutembute
 
Ukiwapigia wanasemaje?
Huyo uliemtumia nae unamuamini kiasi gani?

Hizi kampuni za simu siku hizi unaweza uweke hela yako mfukoni, Paaap unashangaa msg eti imethibitishwa umemtumia.

Ukicheki mfukoni haipo eti wamekusaidia kutuma. Wakiwa wanakudai hata ya kwenye kibubu wanapita nayo.

Believe me...
 
Kama ni hela ndogo fanya Kama umetoa sadaka! Kama ni kitita taslimu usikae kiboya wahi... Mkuu usisahau line yako uwe umesajili kwa mialama ya vidole wasije kukuletea u mbutembute
Nitawadai fidia
 
Back
Top Bottom