Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

Ila hata kama sina, ni udangaji kuomba omba hela. Sio mke wala mtoto wangu, kila wakati, sina MB, nataka kusuka, saloon, n.k utadhani ni mimi tu ndo nakuona.

Acha tu nikupe kiroho safi, tupo wachache tunajali jamani, na hata kama nilipanga kukupa 100k, ukiomba 30k, nikikupa, siongezi hata sumni, ni hiyo hiyo 30k kwakuwa umeomba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom