hela

  1. JamiiForums Tanzania Uzalendo: Tundu Lissu aibuka Ivory Coast kushangilia Taifa Stars

    Huu ndio uzalendo tunaoutaka, Ukitaka kujua mtu ni Mkereketwa wa Timu ya Taifa basi Mwangalie huyu Jamaa. Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake, Uzalendo mtupu.
  2. JamiiForums Tanzania Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

    Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao. Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
  3. JamiiForums Tanzania Tungo: Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi

    Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi Utapata mautamu, bila hata ya hirizi Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi Bby unanipa hamu, anakupa na pongezi Kumbe mwana haramu, anajifanya mwanafunzi Jaman nyie mademu, wanaume...
  4. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nikimpa hela hataki

    Anasema anataka hela aliyotafuta kwa mikono yake 😅
  5. JamiiForums Tanzania Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  7. JamiiForums Tanzania Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex. najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
  8. JamiiForums Tanzania Tungo: Hatoki karibu yako pindi ukiwa na hela

    Hatoki karb yako, pale ukiwa na hela. Ataacha chokochoko, penzi lote utapewa. Hata ukiwa mnoko, sifa tele wamwagiwa. Utapata madikodiko, na mapenzi utalewa. mke atakuelewa pindi ukiwa na hela. Utaliona sokomoko, pindi ukiishiwa. Tena utakua kituko, na talaka utapewa. Utaitwa mbwa Koko, au...
  9. JamiiForums Tanzania Msimpe Rais Samia Sifa na Utajiri asiokuwa nao, ni hela za serikali sio za Samia. Tuko salama kwa kudra za Mwenyezi Mungu si Samia

    Ninaona vijana wengi machawa wamevuka mipaka na kuanza kusema Samia kafanya hivi kafanya lile mimi ninaweza kusema Samia kawa mpole kupitiliza mpaka kushindwa kusimamia vizuri hela za serikali si za Samia na hatimaye kupelekea kuibiwa hela ovyoovyo. Nchi ya Tanzania ina utajiri wa kutisha sana...
  10. JamiiForums Tanzania Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

    Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu. Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4. Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza. Jana...
  11. JamiiForums Tanzania Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

    Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu? Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo. Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Hospitali binafsi siyo wa pigaji wa hela kama wengine wanavyofikiria

    Kiukweli hospitali binafsi hazipati au kupiga hela kama wengine wanavyofikiria, tofauli na hospitali za Serikali ambazo zinapata ruzuku kutoka Serikalini pamoja mishahara kutoka hazina, private hospital zinajitegemea 100% katika kutoa huduma zote. Hakuna ruzuku yoyote wanayoipata kutoka...
  13. JamiiForums Tanzania Jamaa graduate anaangaliwa na familia yote na njia za hela hana ana miliki vyeti

    Vijana wa hivi wapo wengi kwa sasa depression itatumaliza vijana
  14. JamiiForums Tanzania Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Msaada NSSF - nahitaji kupata hela zangu

    Habarini ndugu JF. Mimi ni kijana ambaye nimemaliza mkataba kwenye shirika ambalo nilkuwa nikifanya kazi. Katika kufuatilia nilijulishwa kuwa kwa mtu mwenye elimu kama yangu "certificate" anaruhusiwa kupata pesa zake zote na sio 33.33%, Hivyo nilijaza fomu zote na kurejesha nikitarajia kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  17. JamiiForums Tanzania Hili tajiri lililokua linatoa hela kwa HAMAS limeuawa

    Hakuna anayesazwa... https://twitter.com/IDF/status/1737047329679482899?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1737047329679482899%7Ctwgr%5E65eabd3a6b41d8dd116685a17d936eaad3131cfb%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fisrael-hamas-war%2Farticle-778632
  18. JamiiForums Tanzania Vijana mlio dhulumiwa pesa na TFF gomeni, ikiwezekana chomesheni mechi

    Kuna vukundi vya wahuni wachache wao wakisikia hela wanatetemeka na kugeuka kuwa mashetani. Nimesoma sehemu mbalimbali madogo wakilalamikia kupewa buku 20, msiwe wajinga waonyesheni hamjaenda kunyonyesha watoto maziwa kama wanavyowachukulia. Muwe pamoja, onyesheni umoja kama mnamechi...
  19. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  20. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya . Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…