hela

  1. and 998 others

    Atumia ubunifu wa kujamba ili kupata pesa (Video)

    Ingawa pesa ngumu Ila huu 'ubunifu' haupendezi aisee. Ni masikitiko kama sio msiba.
  2. E

    Msaada nataka kumfungulia mtoto account ya USD kwa ajili ya kumtunzia hela

    Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
  3. S

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu. Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu! Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
  4. B

    DOKEZO TFF acheni ubabaishaji, wapeni watu hela zao

    Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu kutolewa kwa Tuzo za TFF 2023, kuna malalamiko yameibuka juu ya zawadi za washindi. Kwa mujibu wa mmoja wa washindi wa tuzo hizo, mpaka leo hawajakabidhiwa fedha walizoambiwa watapewa washindi. Mbali na tuzo walizokabidhiwa siku ya sherehe, washindi waliahidiwa...
  5. Pdidy

    Na nyie kwenu mnao watu kama hawa?

    Best kama hauna watu kama hawa kwenye ukoo wenu katoe sadaka ya LKUJIMALIZA asikwambie mtu,,,,,,yaani wachaga tunavumilia mengi sanaaaaa Kuna magrp ya ukooo matajiri usiwaguse ati una ndugu yako mgonjwa aisee watakurudisha na vibokoooooooooo Ila itokee yule mgonjwa kafaa best yaan...
  6. frankkilulya

    Kwanini hela mpya zinazotoka bado zina sain za viongozi waliotolewa kwenye nafasi zao

    Ukiangalia Hela/Pesa mpya zinazotoka za noti Bado kuna sain ya waziri wa fedha Na gavana ambao kwa sasa hawapo kwenye nafsi zao. Prof. Philip mpango alikua waziri wa fedha lakini kwa sasa ni Makamu wa rais prof. Florens luoga Alikua gavana wa bank kuu Kwa sasa kuna waziri mpya wa fedha na...
  7. MGOGOHALISI

    Tetesi: Imejulikana, CCM wanategemea kupewa hela za kampeni uchaguzi ujao Toka DPW.

    Mara nyingi CCM hutegemea pesa za uchaguzi Toka kwa matajiri Ambao huzawadiwa rasilimali zetu kiholela. Wakati huu imekua ni zamu ya DPW ndio maana inatetewa kwa nguvu zote. Bibi tozo amehakikishiwa mpunga mrefu wa kampeni kwa chama chake ili waendelee kukaa madarakani na kuwalinda hawa...
  8. The bump

    Mwanamke aliyekupendea hela unamfanyaje wewe kama Mwanaume?

    Kuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi, bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi atakaekupa pole na shida zako. Miaka ya nyuma kidogo sikua vyema kipesa,nilimpenda binti mmoja mzuri...
  9. MK254

    Kiongozi wa Wagner arudi Urusi kuchukua hela yake iliyotaifishwa, anatamba kibabe

    Ni dhihirisho tosha kwamba Putin ni mateka kwa mafia wa pale Klemrin, ikikumbukwa alivyobwatuka kwa hasira wakati wa uasi ambao ulisababisha vifo kwa marubani na uharibifu wa ndege kadhaa, uasi ambao ulitetemesha taifa, uasi ambao ulisababisha hadi Putin akaikimbia ikulu na kujficha, ila baadaye...
  10. Mwachiluwi

    Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  11. M

    Nchi hii ushindwe tu Mwenyewe kutafuta chimbo la hela. Jiite tu Nabii

    Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam...
  12. Gentlemen_

    Tabia ya kuomba hela (Kiholela) imekuwa desturi ya Watanzania wengi

    Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana. Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo".. Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
  13. The Eric

    Kwanini kijana wa kiume ukisema kuna hela naisikilizia huaminiki?

    Salaam! Hivi kwanini wakuu watu siku hizi ukiwaambia kuna hela nasikilizia hapa au kuna mishe naisikilizia hapa wanaona kama kijana analeta janja janja 😅😅😅 Tena ukitaka uachane na demu akuombe pesa afu umjibu kuna mishe nasikilizia hapa itiki ✅ ✔ yaani ile ikitiki nitakusanua, huyo demu lazima...
  14. Leak

    Kwanini DP World wamewakimbia watangazaji? Mpemba huyu ni msemaji wa DP? Hawa waandishi warudishe hela za watu?

    Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania! Maswali makubwa mawili yakikuwa! 1. Mkataba ni wa muda gani? 2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu? Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji...
  15. Nyendo

    TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  16. H

    Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

    Salam.. Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria. Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua. Changamsheni kichwa kidogo.
  17. R

    Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

    Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
  18. amadala

    Prof. Mkenda walipe walimu hela zao

    Wizara ya elimu chini ya Profesa Mkenda hii aibu mnaitaka bila sababu. Kama mlijua fedha hakuna kulikuwa na haja gani ya kuita waalimu toka mikoani kuja Arusha kwenye semina na wamekaa wiki mbili mpaka wanamaliza tarehe 2 Mei,2023 hamjawalipa fedha zao. Huu mradi wa SEQUIP imefadhiliwa na benki...
  19. anti-Glazer

    Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

    Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako. Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
  20. W

    Ameniomba hela ya chai; nimemrushia buku na 200 ya kutolea amekasirika!

    Salaam! Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri. Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa kuzingatia bei halisi ya maandazi huku kijijini ambayo ni tshs 100, nikamrushia buku na mia mbili ya...
Back
Top Bottom