Mzee wetu akaombwe radhi afute neno la "kichwa cha mwendawazimu" else mtateseka mtakula sana hela za wananchi vs Taifa Stars

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,957
22,156
Msitafute mchawiiiii

1. Aliikuwa ni Rais kiongozi wa nchi
Kumbukeni anaongoza kila mtu anapokasirika hata mbingu inahuzunika

Tuliona kirahisi alipoumia na kusema ile timu ni kichwa cha mwendawazimu mkakaa kimya

Yale maneno yanafanya kazi, yanaumba kwa stars yetu soln ya kutoka ni kwenda kuomba radhi kwa mzee wetu akafute lile neno la kichwa cha mwendawazimu

Else kila sehenu mtakuwa kichwa cha mwendawazimu hamuamuamini

Subirien mechi na Zambia

Stars anakula 3

Mechi na Congo stars anakula 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 niko pale kwa mangii wakalaaaa
 
Tatizo ni mwenge wa uhuru, unamulika nje ya mipaka (mipusi, minyau ) na kuacha kuangaza ndani yao. Ebu chunguza uone kama nchi nazo zina mienge yenye kumulika mipaka yao.
 
Kwani jana tumekula ngapiπŸ™‚
 
Kichwa cha mwendawazimu jina limekaa utaam sana hili na linaendana na timu, nampongeza sana rais mstaafu.
 
Tatizo ni mwenge wa uhuru, unamulika nje ya mipaka (mipusi, minyau ) na kuacha kuangaza ndani yao. Ebu chunguza uone kama nchi nazo zina mienge yenye kumulika mipaka yao.
Hahahahaha, huleta tumaini pasipo matumaini
 
Alafu hiyo kauli hakuitoa kwenye mechi ya Taifa stars, hapana.
Hiyo kauli aliitoa kwenye mechi baina ya Simba na Stela abijan, kwenye fainali ya kombe la Abiola.

Simba alifungwa 0-2 pale shamba la bibi.
Ndipo mwinyi alipo toa kauli ya "Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu".
 
Back
Top Bottom