Kidume anaesaka hela sawasawa ngono sio kipaumbele

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,826
9,533
Labda kama pesa zinamjia kiulaini laini. Lakini kama ni kidume wa mipango viwili tu inatosha. Ukiona wewe ni mpaniaji pale kati, basi ndugu yangu tafuta hela.
 
Teh teh unapambana na masasee huko Kivu usiku na muchana

Mjegeje lazima uwike unapokuwa KIVULINI
 
Labda kama pesa zinamjia kiulaini laini. Lakini kama ni kidume wa mipango viwili tu inatosha. Ukiona wewe ni mpaniaji pale kati, basi ndugu yangu tafuta hela.
Cha ajabu pesa hazikutaarifu lini zitakutembelea na mara paap uhenga/uzee huu hapa, ndipo kulia na kusaga meno kwa kauli ya "vunja mifupa meno bado iko" utapoielewa Ke anataka umpelekee moto ila umri nao....
 
Binafsi huwa siamini kama kuna suala la "fedha kumtembelea mtu" naamini ķatika juhudi, maarifa, determination, uaminifu kwa financial support unayopata kwa lenders na risk taking ndo kutoka kwenyewe
 
Back
Top Bottom