Wanawake wanaoomba hela muda mfupi baada ya kutongozwa huwa wanakuwa kwenye mahusiano ya maana?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Habarini,

Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza.

Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza, ya pili ya tatu, baada ya hapo, awe amekula mzigo au hajala, anakimbia.

Nimewaza kwa sauti.
 
Biashara inayotafuta wateja
 
Huwa inatokea tu mtu Ana jikuta na shida hata kama Ana hela

Kingine huwa wanapima uwezo wa mwanaume

Pia wanapima kujari kwa mwanaume
 
Habarini,

Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza.

Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza, ya pili ya tatu, baada ya hapo, awe amekula mzigo au hajala, anakimbia.

Nimewaza kwa sauti.
kama hakuna hela aelezwe wazi tu kiungwana na kama ipo asiendekezwe sana kupewa, otherwise yatakua yale ya Biashara ya Mapenzi 🐒

pesa ipo tunakutana, pesa hakuna kila mtu na hamsini zake.
Hamna hata kukutana mkazungumza na kushauriana wala kutiana moyo katika mambo flan flan na plans for future 🐒
 
_20240226_124712.JPG
 
Nilichukua namba akaomba nimchek aipate yangu hapo hapo( hii ni mbinu ya mafisi wengi) nikamcheki akaipata yangu kila mtu akaendelea na mishe zake.

Baada kama ya masaa 4 kupita akanicheki kaniuliza nipo wapi ana njaa hajala nimnunulie msosi, nikaona haina shida nikamwambia njoo nilipo akaja akaagiza nikalipia na boda akasepa, kafika kwake akanijulisha kafika salama plus kujibebisha kwingi.

Ikapita kama nusu saa akanicheki anaomba hela, nikamwambia kesho yake nitampa, kabla haijafika hiyo kesho akanitext kuwa hiyo kesho ni bday yake kwenye ile hela nimuongezee hela ya keki ya bday 😅
Nikamuomba gemu akakaza anasema ndio kwanza hata wiki haijaisha awezi toa mwili wake, nikawaza hii mbuzi inanichukuliaje?
Hizo x sasa 😂

Wanawake wanapenda pesa ila hii spishi ni zaidi
IMG_20240226_140109.JPG
 
Back
Top Bottom