Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Hello

Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na urafiki uishe.

Hili tatizo la wadada kuomba omba hela lipo dunia nzima, nimechunguza kuwa sio Tanzania tu, kwenye online forum za Nigeria, Kenya, marekani etc koote wanaume wanalalamika mitandaoni

Sijajua future ya mahusiano inaelekea wapi.
1709270218022.jpg
 
Ukisema Dunia nzima unatukosea wa nje, hizo njaa ni za nchi masikini na watu masikini. Kama unanzungumzia USA basi labda ni baadhi ya Latino au weusi na hata matapeli

Lakini kuna nchi zingine mwanamke hawezi kukuletea shida zake baada ya kumtongoza ni aibu kubwa sana bora amuulize mama au baba yake.

Huku nilipo una rafiki au mpenzi atalipa chake na wengi wao wanafanya kazi za kukidhi mahitaji yao yote. Hiyo kauli ya duniani kote sio kweli
 
Back
Top Bottom