Usimpe hela Mwanamke ila fanya hivi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Habari zenu,

Kumekuwa na kasumba ya wanawake kuomba hela kwa kigezo cha kuumwa au kuomba hela kununua Dawa.

Ewe Mwanaume mwenzangu nakuhisia! usijaribu na wala usitume muamala mpaka pale mtakapoongozana na kwenda hospital kumpima ili ujue kama anaumwa kweli au lah!

Wanawake wengi wamekuwa wanatuibia na kutufirisi kwa kigezo cha kuumwa na kuomba hela za Dawa.

KAULI MBINU : USITUME HELA ONGOZANA NAE HOSPITAL.
 
Kuna mmoja alinipigia cm kunipa taarifa kuwa anaumwa toka asubuhi hajatoka ndani. Nikamuuliza umeenda hsptal jibu hapana, imani ikanijia japo hatujawasiliana mda mrefu na huwezi kuamini muda ananipigia cm natoka atm kuokota. Nikasema Mungu ana sababu zake mm kupokea cm hii muda huu nikamjulisha nachukua pikipiki nakuja kwako nikupeleke hsptal si akanikataa kumbe alitaka kunipiga
 
Nomah sana.
 
Habari zenu,

Kumekuwa na kasumba ya wanawake kuomba hela kwa kigezo cha kuumwa au kuomba hela kununua Dawa.

Ewe Mwanaume mwenzangu nakuhisia! usijaribu na wala usitume muamala mpaka pale mtakapoongozana na kwenda hospital kumpima ili ujue kama anaumwa kweli au lah!

Wanawake wengi wamekuwa wanatuibia na kutufirisi kwa kigezo cha kuumwa na kuomba hela za Dawa.

KAULI MBINU : USITUME HELA ONGOZANA NAE HOSPITAL.
Kwanza kwanini umpeleke hospital. Hana kazi? hana ndugu? Sio kumnyima hela tu hata uko hospitali hakuna kumpeleka labda awe mkeo.
 
Habari zenu,

Kumekuwa na kasumba ya wanawake kuomba hela kwa kigezo cha kuumwa au kuomba hela kununua Dawa.

Ewe Mwanaume mwenzangu nakuhisia! usijaribu na wala usitume muamala mpaka pale mtakapoongozana na kwenda hospital kumpima ili ujue kama anaumwa kweli au lah!

Wanawake wengi wamekuwa wanatuibia na kutufirisi kwa kigezo cha kuumwa na kuomba hela za Dawa.

KAULI MBINU : USITUME HELA ONGOZANA NAE HOSPITAL.
Nyie jidanganyeni hapa lakin huku nyuma ya pazia pesa lazima mtugawie tu .
Mseme msemavyo lazima kitawaramba.
 
Back
Top Bottom