Hiyo Sherehe yenu wana JamiiForums mnayoiandaa ole wenu msinialike na msinitumie Chopper inifuate huku Mapinga 'Chango Hela' Bagamoyo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,031
Yaani mkiifanya halafu GENTAMYCINE sipo au sijaalikwa itakuwa ni sawa na Timu ya Taifa ya Argentina kupangwa bila Lionel Messi au Yanga SC kupanga Kikosi chake bila ya Pacome Zouzou au Simba SC kupangwa bila ya Clatous Chama kitu ambacho hakiwezekani na kitawashangaza wengi.

ANGALIZO

Kabla hujakurupuka kuja Kuujibu / Kuuchangia huu Uzi kwa Hasira zako za Kipumbavu na Ushamba ( Ungandamba ) wako juu yangu Malaika Mpendwa wa Mungu GENTAMYCINE kwanza angalia huu Uzi uko katika Jukwaa gani vinginevyo Ukikurupuka na Kujaa katika 18 zangu kama kawaida yangu Mimi nakupa tu za Uso.

Tunapenda Furaha na Utani hapa JamiiForums hivyo kama Wewe una Usununu wako ( Makasiriko yako ) kutokana na Njaa au Demu Kukutema au Kudaiwa Vikoba na Kodi ya Nyumba au Umebeti Mhindi kakukomba zote au Umemegewa / Umekanyagiwa Mkeo au Mshahara wako bado haujasoma katika Muamala wa NMB tafadhali usiulete hapa bali endelea tu kupambana na Maisha.
 
Ile hela billion moja allowance yako ya kuhudhuria sherehe hiyo, yenyewe tayari wameshakutumia?
 
Barehe ni shida sana. Utuchunguliaaa unaogopa kutoa labda havitaota tena. Kama sio basi ujana wa uzeeni
 
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

Lazima afuatwe na Chopper hilo halina mjadala,
Imeisha hiyo.
 
Ije inifuate huku Kiharaka Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani ninakoishi sasa baada ya kuhama rasmi Kawe Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam.
 
Barehe ni shida sana. Utuchunguliaaa unaogopa kutoa labda havitaota tena. Kama sio basi ujana wa uzeeni
Kabla ya kuanza Kuuchangia huu Uzi umejiridhisha pasi na shaka kuwa nimeuweka katika Jukwaa gani hapa JamiiForums?

Kuna Watu mna Chuki za Kipumbavu na Mimi pamoja na Wivu wa Umaarufu wangu utadhani labda Mimi ni Hawara Mkuu wa Mama zenu.

Nilishasema na hata Kuonya mara nyingi tu hapa JamiiForums kuwa kama unajijua HUMPENDI GENTAMYCINE na huvutiwi kabisa na Uwasilishaji wake wa Mambo mbalimbali na Mada mbalimbali basi acha kabisa Kumfuatilia au Kumsoma na ukiweza MBLOKU kabisa na uendelee Kuwasoma Uwapendao lakini cha Kushangaza bado hao hao / nyie nyie WANAONICHUKIA / MNAONICHUKIA ndiyo Kutwa mnanifuatilia na kunisoma mno hapa JamiiForums.

Hamna Akili.
 
Back
Top Bottom