Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot.

2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi milioni 30.
 
Ndio wakowakoje hao watu ungetupia picha na video Sisi wengine hatukuona wakati inarekodiwa
 
Uliona wapi Tajiri anamfundisha masikini jinsi ya kupata pesa?

Wewe ndiye mlengwa, Ingia ufe.

Hao wanafanya hivyo ili wewe, hasa wewe uvutiwe na hizo mbwembwe upeleke vijicenti vyako vikaliwe.

Hizo ni business strategy kukulewesha wewe.
 
1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot.

2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi milioni 30.
ukiitwa kwenye fursa wewe ndo fursa
 
Back
Top Bottom