Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,728
6,792
Screenshot_20240301_141515_Chrome.jpg

Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..

Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
 
View attachment 2921369

Tofauti ni kwamba wenye six pac wanapewa bure
 
View attachment 2921369

Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..

Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
Ukiniambia mtu fulani ni mzuri sana huwa nawaza hata hiyp skeletone yale itaonelana na huo uzuri wa nje?

Tuache ubaguzi
 
Back
Top Bottom