hawataki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya watu ukiwasalimia hawaitikii salamu

    Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada. sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

    Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nazionea huruma nchi za Magharibi, hawataki kuzaliana huku wakikaribisha mamilioni ya itikadi kali kwao

    Liberals na policies zao za kufungua dunia. Immigration policies mbovu za mataifa haya kwa kudhani kupokea watafutao maisha bora, asylum na hifadhi kwamba wata adapt na misingi ya west kumbe walikuwa wanajidanganya. Sasa leo mzungu ni wa kuzaa watoto wawili au mmoja na pengine kutozaa kabisa...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ndugu na marafiki hawataki ufanikiwe ila wakipata shida wanataka uwasaidie au kuwachangia

    Katika jambo ambalo mimi binafsi linanishangaza ni namna ambavyo unaweza kuta mtu kama ndugu yako, rafiki yako, jirani yako, classmate wako, na mtu yeyote ambaye kidogo mnaukaribu anachukia wewe ukifanikiwa, au anakubania connection, au anakuchongea ufukuzwe kazi, au hataki upige hatua...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mandamano Israel hawataki vita

    Kuna mandamano I srael hawataki vita, chezea na Missile za Hamasi https://youtu.be/fpu6s1U1LJA?si=Z4GIsWUFtJC-ty1L
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

    Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani? Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu. Maadimin wa JF Wapo Dar, ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar Melo yupo Dar, Vyuo vikuu Bora vipo Dar Flying over za maana zipo Dar Uswahilini kupo Dar Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake watu wazima hawataki kuamkiwa shikamoo?

    Inatokea kila mara, unamuakia kwa heshima zote anaitikia habari yako! Kwa nini? Hawataki kuheshimiwa?
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
  9. B

    JamiiForums Tanzania CCM ilishafeli kitambo sana sema hawataki Kukubali tu

    Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%. Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale. Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji. Tuna...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania Settles $96million dispute with Canadian Firm under conditions

    Tanzania Settles $96million dispute with Canadian Firm under conditions Dar es Salaam Winshear Gold Corp. and Tanzania reached a conditional settlement in a longstanding mining license dispute. Uncertainty remains as the finalization of the settlement agreement is not guaranteed. Tanzania...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wapo waliohitimu na ajira hawajapata, kazi nje ya utaalamu wao hawataki na hata kuiljiongeza hawapendi

    Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi Hawataki Kutusikiliza, Wanataka Tuwasikilize tu na Kufanyia Kazi Maagizo yao!

    Ni matumaini yangu nyote mko salama. Nimeona nilisemee hili maana limeenda! Hivi kiongozi unatoa wapi ujasiri wa kukataa kuwasikiliza waliokuweka madarakani? Hivi unavaaga viatu vya wale unaokataa kuwasikiliza? Hebu fikiria umedhurumiwa na kiongozi fulani, unakwenda kushitaki kwa mamlaka ya juu...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

    Kwema Wakuu! Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo. Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa sababu zifuatazo; 1. Supply ya papuchi Kwa sasa ni kubwa, automatically demand itakuwa ndogo na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wakristo Zanzibar na wao hawataki kuongozwa kutoka Dodoma na Askofu Mkuu Dkt. Mndolwa

    Mama anaezungumza kwa niaba ya Wakristo wa Kanisa la Anglikana Zanzibar (Kanisa mama), anasema hawataki tena kuchukua maelekezo kutoka Dodoma au kwa Askofu Mkuu Dkt. Maimbo Mndolwa ! Anasema ni vyema sasa wakawa na utaratibu kama wa ndugu zao Waislam wa Zanzibar ambao taasisi yao haipokei...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wanapenda kuongozwa na viongozi bora ila wao wenyewe hawataki kushiriki siasa huku wakijidai wao ndio bora kuliko viongozi waliowachagua wao wenyewe

    Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa. Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

    Kuna mzee mmoja nilikutana naye eneo moja la kazi miaka 12 iliyopita, na katika mazingira ya kazi tulikuwa tukiheshimiana sana, na tulikuwa tukiishi kama familia; leo tukale wapi au kunywa wapi, mara moja moja ilikuwa ni kitu cha kawaida. Baada ya muda kupita aliamua kung’atuka na kwenda...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

    Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo. Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kiafrika hawataki kuwa matajiri, ila wanataka haki sawa?

    KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI?? Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mabinti wengi wenye miaka 18-24 hawataki kuolewa kwa muda huo?

    Kwa wenye uzoefu kwenye hili mshee mawazo, inasemekana mabinti wengi wenye umri huo hawataki ku-settle kwenye ndoa au serious relationship, ilhali kwenye huo umri ndo wapo kwenye hot season/prime age/wako popular kwenye market.. Harakati za "binti" pia sielewi, kule FB kuna NGO imeanzishwa na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maoni: Watanzania hawataki tena kuwa tu manamba na vibarua, wanataka pia kuwa sehemu ya wawekezaji kwenye Bandari

    Nyakati zimebadilika. Hivi sasa ni mwaka 2023; sio 1961 ambapo tulijinyakulia uhuru na kujitosa katika uendeshaji wa taifa bila ujuzi wa kutosha, tukijaribu utekelezaji wa sera mbalimbali kama vile ujamaa na kujitegemea; sio miaka ya 1980 mpaka 1990 ambapo tulimiliki mashirika mengi ya umma bila...
Back
Top Bottom