Mandamano Israel hawataki vita

Hizbullah: Ukanda wa Gaza itakuwa kaburi la utawala wa Kizayuni​

Mbona hawasogelehi huo ukanda wao, kwahiyo hao watawala wa kizayuni watajiuua wenyewe na kujizika hapo Gaza??

Uoga ni kitu kibaya sana, Dunia ya leo hakuna anayeopgopa propaganda aise, mara waarabu wamiminike Israel siku ya ijumaa, mara Israel wasiendelee kushambulia Gaza, mara vitambaa vyeusi juu ya makaburi sijuhi misikiti dah Iran hamna lolote🤣🤣🤣
 
Binadamu bwana wakionewa huruma na wananchi wenye huruma juu yao, wao waajitapa et missile sasa kwa akili zako hizo missile za Hamas zimeleta madhara gani hadi sasa kwa hao waisraeli wanaoandamana?
😂 Nani anawaonea huruma hao wa Israel bila kuwapiga hawakuheshimu, tatizo mnadanganywa sana na Israel anazuia media wasi records sehemu ambazo Hamasi anapiga iwe Tela Aviv au sehemu nyingi za Israel zinazopigwa na Hamasi


View: https://youtu.be/SvDnSkW0JFw?si=sy2xk2xUOogwH47gLakini kunawatu wengine wana records na kuzirusha kwa kutumia mobile zao.
 
Back
Top Bottom