Kuna baadhi ya watu ukiwasalimia hawaitikii salamu

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
914
1,704
Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.

sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,

Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
 
Ameshapewa file lako ambalo limeeditiwa aahaaa
 
Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.

sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,

Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Mimi nikimsalimia mtu mara moja na nina uhakika 100% ameniona na kunisikia lakini akakausha sisumbuki tena kumsalimia labda anianze yeye

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ambao wanajiskia (Dharau) kwa kuwa una status ya kawaida

Kuna ambao hawapendi kusalimiwa salimiwa

Kuna ambao hawasikii vizuri..na Wana matatizo binafsi (Hawataki shida).

Nimekutana Sana na watu wa dizaini hii ....hasa kundi la kwanza cha msingi tu fanya mambo yako Usitake kumpa attention asiekupa attention
 
kuna mama mmoja hivi nilimpa salam akanikata jicho la chuki, akanicheki juu mpaka chini aisee halafu akayeya...

nusu saa baadae akarudi akanikuta namhesabia jirani yake laki moja na nusu.

Yule mama ikabidi ashindwe aende au arudi, asalimie au akauke..

nilivyoondoka tu jirani yake akampa data zangu...

kesho yake mchana napigiwa simu na namba ngeni, sauti ya mwanamke, inahitaji kuniona, kuna emergence eti... hahaha..

kwenda, namkuta yule mama sura limemshuka kama lishabiki la Yanga lililofungwa goli 3 na waarabu.. eti na yeye anataka KUKOPA LAKI...

TAFUTENI HELA, SALAM ACHIENI WATOTO WADOGO..
 
Nilipopanga Kuna dada mmoja muhaya nilivyoamia hapa nilimkuta ,ss nikawa tukionana namsalimia anaitikia km hatak ,cku zingine haitikii kbs nikaonaa km najipendekeza hv nikawa na vunga nikikutana naye cmsalimi NAMI imeeenda hvyo anaweza akafungua mlango akiwa anatoka ananikuta labda njee pekee yangu Wala hasalimii .

Bhana kaja kafiwa na mama yake na anatakiwa kwenda bukoba na nauli Hana akaomba anakojua nadhan akakosa ,jion npo zangu geto mlango unagongwa nafungua namkuta n yy .

Nikamkaribishaa ndan heee kaingia mzma mzma uku anatia HURUMA ,akajieleza pale kafiwa kakwama nauli km naweza msaidia nimsaidiee .

Nikamwambiaa pole na msiba kwanza ,nikamuuliza mbona Huwa unisalimi kbs hata mm nikikusalimia uitikii Kwan tumegombanaga mm nawe.akajiumauma pale mwishowe nilimsaidia nauli japo baada ya msiba alikujaa ilipaa Kwa namnaa yakee c yakurudishiwa Hela Bali Ile namna wanaume tunafanyagaa
 
Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.

sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae,

Najua hata wewe ushakutana na chanagamoto kama hiyo.
Kwani asipoitika unapoteza nini

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hi kitu hiiiiii...!🙌

Yangu tofauti kidogo,

Kuamkiwa shikamoo nikiwa kwenye mazingira/hali flani wakati kimuonekana unaweza fikiri niko 20-25 hivi japo ka umri kapo kidogo juu hapo ila nikiwa kwenye mazingira Tshir- jeans na vitu kama hizo"kaka mambo,nk."
 
Nilipopanga Kuna dada mmoja muhaya nilivyoamia hapa nilimkuta ,ss nikawa tukionana namsalimia anaitikia km hatak ,cku zingine haitikii kbs nikaonaa km najipendekeza hv nikawa na vunga nikikutana naye cmsalimi NAMI imeeenda hvyo anaweza akafungua mlango akiwa anatoka ananikuta labda njee pekee yangu Wala hasalimii .

Bhana kaja kafiwa na mama yake na anatakiwa kwenda bukoba na nauli Hana akaomba anakojua nadhan akakosa ,jion npo zangu geto mlango unagongwa nafungua namkuta n yy .

Nikamkaribishaa ndan heee kaingia mzma mzma uku anatia HURUMA ,akajieleza pale kafiwa kakwama nauli km naweza msaidia nimsaidiee .

Nikamwambiaa pole na msiba kwanza ,nikamuuliza mbona Huwa unisalimi kbs hata mm nikikusalimia uitikii Kwan tumegombanaga mm nawe.akajiumauma pale mwishowe nilimsaidia nauli japo baada ya msiba alikujaa ilipaa Kwa namnaa yakee c yakurudishiwa Hela Bali Ile namna wanaume tunafanyagaa
Ulikuwa unamtamani tu Huyo demu toka Mwanzo ....
 
kwangu angeacha TV bondi... hela kwangu ni msala mzito
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom