hawataki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ncha Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuwaita watoto wao 'Prince and Princess', ila hawataki kuwapa baba zao hadhi ya King!

    Habari ndo hiyo! Hadhi ya Princess na Prince inatumika kirahisi sana kuita watoto wao, ila ile 'treatment' ya kifalme kwa baba wa watoto hao ni nadra au haipo. Je, wanawake hawajui maana ya hadhi hiyo au ni mwendelezo ule ule wa ubaguzi tu?
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wakusanya kodi za mabango Ilemela hawataki kutoa ‘control number’, wanataka ‘Cash’

    Kuna kero kubwa sasa hivi Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya Ilemela Jijini Mwanza wanapita kila ofisi wanataka kodi ya mabango na ukiomba control namba hawataki kutoa. Tunamba Serikali iondoe hiyo kodi kwa sababu mteja anajitangazia biashara zake kupitia bango ili apate kodi ya TRA, jamanI sisi...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

    Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko. Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20. Mahindra tech? Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme. Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania hawataki utawala wa haki na Sheria. Matendo yao ndiyo yanathibitisha. Binafsi sioni umuhimu wa katiba mpya, hii inatosha

    Habari za asubuhi! Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nyerere akiongelea kinachoendelea sasa Congo, Wakongo wanapenda mipaka lakini hawataki watu flani ndani ya mipaka ila hawataki kuwapa nchi yao

    Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo. Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wakiomba pesa kwa mwanaume wanataka papo kwa papo ila sisi tukiomba mbususu hawataki papo kwa papo. Shetani muomba ajue na kutoa pia

    Salamu kwa wote Nakereka na tabia za mademu unamcheki ili aje ghetto mara pap jibu anaomba elfu 50 au laki, ukimchana kuwa baby nimeamka na nyegezi mdudu yuko juu naomba uje anakuunga na ombi la pesa , ajabu anakazia kutaka ombi lake la pesa lipite ila ukimuungia na ombi la kumwambia chap aje...
  7. Mmawia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

    Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya. Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm. Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

    Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi. Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:- 1. Salama Jabri. 2. Fatuma Karume. 3. Maria Sarungi. 4. Kajala. 5. Dinar Marios. 6...
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli ambao walinda legacy hawataki kuusikia!

    Mara utasikia Hayati ameacha miradi mingi. Hiyo miradi ni ipi? Kila Rais aliyetawala nchi ya Tanzania kuna jambo muhimu alilofanya, hakuna Rais alieitawala nchii hii akamaliza muda wa uongozi bila kufanya lolote kulingana na sera ya chama. Mambo ambayo walinda legacy ya Hayati hawataki...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki tuijue

    Kuna hii Tanzania ambayo utaikuta kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu. Na kuna Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki ifundishwe mashuleni. Tafakari haya matukio machache huenda utaiona hiyo Tanzania halisi. 1. Mama mmoja alifungwa miaka 22 kwa kosa la kukutwa na kg 1 ya nyama ya swala...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania The Guardian: Israel inapoteza vita dhidi ya Hamas lakini Netanyahu na serikali yake kamwe hawataki kukubali

    Wanakumbi. Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni Mudathir, Sure Boy, Kibwana, Moloko na Farid Musa, Kocha wa Yanga hawataki

    Kwa vile hawa bado ni Wachezaji wazuri tu wanaweza kusaidia Simba kwenye michuano ya kimataifa. Taarifa zinaonyesha kwamba kocha wa Yanga hawataki
  13. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya watu ukiwasalimia hawaitikii salamu

    Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada. sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

    Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nazionea huruma nchi za Magharibi, hawataki kuzaliana huku wakikaribisha mamilioni ya itikadi kali kwao

    Liberals na policies zao za kufungua dunia. Immigration policies mbovu za mataifa haya kwa kudhani kupokea watafutao maisha bora, asylum na hifadhi kwamba wata adapt na misingi ya west kumbe walikuwa wanajidanganya. Sasa leo mzungu ni wa kuzaa watoto wawili au mmoja na pengine kutozaa kabisa...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ndugu na marafiki hawataki ufanikiwe ila wakipata shida wanataka uwasaidie au kuwachangia

    Katika jambo ambalo mimi binafsi linanishangaza ni namna ambavyo unaweza kuta mtu kama ndugu yako, rafiki yako, jirani yako, classmate wako, na mtu yeyote ambaye kidogo mnaukaribu anachukia wewe ukifanikiwa, au anakubania connection, au anakuchongea ufukuzwe kazi, au hataki upige hatua...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mandamano Israel hawataki vita

    Kuna mandamano I srael hawataki vita, chezea na Missile za Hamasi https://youtu.be/fpu6s1U1LJA?si=Z4GIsWUFtJC-ty1L
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

    Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani? Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu. Maadimin wa JF Wapo Dar, ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar Melo yupo Dar, Vyuo vikuu Bora vipo Dar Flying over za maana zipo Dar Uswahilini kupo Dar Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake watu wazima hawataki kuamkiwa shikamoo?

    Inatokea kila mara, unamuakia kwa heshima zote anaitikia habari yako! Kwa nini? Hawataki kuheshimiwa?
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
Back
Top Bottom