hawataki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Israel inaweza kuutokomeza ugaidi wa Palestina lakini kwa maksudi hawataki, hizi ndio sababu ambazo zimegeuza ugaidi huo kuwa baraka kwao.

    Kinachofanyika huwa ni kupunguza tu wala si kutokomeza kabisa. Vikundi vya kigaidi kama Hamas vimekuwa ni Neema kubwa mno kwa Israel, Kwa teknolojia na uwezo wa kijeshi alionao Israel endapo akiamua kumaliza kikundi kama Hamas ni suala la siku kadhaa tu lakini hawezi kuthubutu kufanya hili...
  2. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa sasa hawataki uhusiano wa muda mrefu

    Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao. Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 wanaitwa Generation Z kwa lugha ya kingereza, wanatafuta njia ya kupenda na kufanya...
  3. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Nina kipato kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo

    This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide. Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO. Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uingereza wagomea mwaliko wa Rais Mnagangwa kuhudhuria kusimikwa kwa 'King Charles III'

    Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu. Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Serikali ya China yalaumu wahitimu wa vyuo vikuu kwamba ni wavivu, wabishi, hawataki kazi ngumu

    Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani. Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
  6. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote. Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko. Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Takriban vijana 700,000 wameikimbia Urusi hawataki kupelekwa kwenye vita

    Putin anaendelea kuachiwa apambane na hali yake, wanaume, wengi wao wakiwa vijana barubaru wameikimbia nchi..... Maana hawaoni tija ya kuburuzwa kwenda kupigana na jirani ambaye hana uadui na wewe.... Young Russians refusing to fight in Ukraine have been fleeing to Istanbul since Moscow...
  8. F

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Baada ya kutumia dawa ya Pregabalin(ligaba), natokwa na mate Kama manyunyu napozungumza na watu, nifanyeje?

    Sijui hata nifanyeje? Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza. Sasa watu hunikwepa au kuweka mikono usoni na mdomoni kwa tahadhari. Sikuwa na hili tatizo kabla. Je nifanye nini...
  9. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini hasa? Madarasa tayari Wanafunzi hawataki Shule

    Haya ni maajabu ya Tanzania ya CCM, Sasa hivi inajisifu kujenga madarasa mengi na ya kisasa kwa shule za msingi na sekondari kwa pesa nyingi sana za kukopa, tozo na kodi za kawaida. Pia sasa hivi elimu inasemekana ni bure kote huko yaani msingi na sekondari. Tunawapongeza. Ajabu ni kuwa kuna...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumshughulikia Mwaikali, wamehamia kwa Kimaro. Viongozi KKKT hawataki nyota za wenzao kuonekana? Who is next?

    kKKT ni kama Ina udikteta, imejaa viongozi wenye roho mbaya sana, makatili, washirikina, wamejaa wivu, husda. Askofu Mwaikali aliondolewa kwa njia ya kuhudhunisha sana, taratibu zote za kanisa zilivunjwa kwa makusudi kwa lengo moja tu, kumkandamiza, kumuonea, kumdhalilisha Kuna askofu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasibembelezwe katika meza ya mazungumzo maana ni vigeugeu na waliyokosa msimamo

    Ndugu zangu, ukifuata akili za CHADEMA na wana CHADEMA na viongozi wao lazima upotee, upoteze dira, muelekeo na kuchanganyikiwa. CHADEMA ni chama kisicho na msimamo, dira aala muelekeo, hakina misingi inayokiongoza na kusimamia. Ni chama ambacho huwezi ukajua baada ya mwaka kitakuwa wapi na...
  12. DALA

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu Mstaafu Imran Khan anusurika kuuawa wakati akihutubia

    Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap. Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao mashabiki wa Simba hawataki kuukubali

    Kwa sasa mna timu ya kawaida sana, Tshabalala, Kapombe, Bocco, Nyoni na Mkude siyo wa miaka minne nyuma, Chama aliyerudi kutoka Morocco siyo yule alieondoka, pengo la Muqquison bado halijazibwa, wachezaji wenu wa kigeni ukiwatoa Innonga karibia wengine wote ni overrated. Usajili wenu ya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

    Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!! Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe Source: Aljazeera
  16. D

    JamiiForums Tanzania Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu! Hii ni ndege ya chini! Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah! Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo! Na ukitaka...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Watanzania watu wa ajabu, wanapenda maendeleo lakini hawataki kugharamia hayo maendeleo kwa kodi

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake. Wananchi hawakupenda sana kauli hiyo, lakini akawaambia hivyo ndiyo ilivyo kwenye free market economy. Hivyo ndivyo ilivyo...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawataki kuitwa mama, kwanini?

    By Kelvin Kagambo Siku moja niliona mwanamke mmoja mashuhuri anagombana na watu mtandaoni kwa sababu ya kwanini watu wanamuita Rais Samia Suluhu Hassan ‘mama’. Hoja zake zikiwa, kumuita Samia Suluhu mama ni kama vile kumpunguzia majukumu makubwa ya urais aliyonayo, pia ni sawa na kumletea...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyuk kiongozi wa Chadema ndio kusema hataki panya road kudhibiwa? Au ndio kupingapinga tu. ? Mkimbizi ni mkimbizi tu.

    Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
Back
Top Bottom