Je ni kweli mabinti wengi wenye miaka 18-24 hawataki kuolewa kwa muda huo?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Kwa wenye uzoefu kwenye hili mshee mawazo, inasemekana mabinti wengi wenye umri huo hawataki ku-settle kwenye ndoa au serious relationship, ilhali kwenye huo umri ndo wapo kwenye hot season/prime age/wako popular kwenye market..

Harakati za "binti" pia sielewi, kule FB kuna NGO imeanzishwa na wanawake inayopinga ndoa za utotoni, navoona baadae wataleta sheria kwamba mwanamke mwenye miaka 18 asiolewe, wataleta sheria Minimum age mwanamke aolewe akiwa na miaka 26
 
Sio kweli wanataka sana ....Sema huo umri wakuwa kweny soko na Miruzi mingi sana haswa hwa wasomi hapo wanajiona wana ndoto kubwa sana hata kuchagua wanaume wanachagua ili mradi tu.

Ngoja washalizwe kwanza chuchu zishuke kama kangaroo hapo hawana ujanja tena soko lishawapita .
 
Mwanamke wa mjini miaka 18-24....

Mwanamke huyo msomi...

Mwanamke huyo kutoka familia ya uchumi wa kati....

Unaanzaje kutaka ndoa naye ?!!!!

Kweli "classic woman at that age can become a wife material"?!!!

Gosh

Yes ,wa miaka hiyo 18-24 akiwa hana elimu(standard 7)...akitokea familia duni huko uswahilini.....unaweza kusema 50/50 ukawa umepata mke.....
 
Akili inamkomaa msichana anapofika 28-age

Ukioa chini ya hapo unajitafutia matatizo either awe 27 anaelekea 28 , kwenye umri huo ndio anakua na maamuzi sahihi na hata kama aliteleza hapo nyuma kwenye umri huo anajutia na kupanga vizuri mashambulizi ya maisha na muelekeo mzuri

Ukioa chini ya huo umri atakuendesha na kukuonyesha rangi zote za vurugu mpaka afikie umri huo wa utulivu wa akili ndio atatulia so miaka 18-24 hawana maamuzi binafsi so akiingia kwenye ndoa atataka atoke alaf aingie tena yaani anakuwa hana utulivu kabsa kabsa
 
Enzi zetu tulikua tunaolewa tukimaliza tu shule...chuo tunaenda tukiwa wajawazito na tulitulia...hawa watoto wa sikuizi sijui wana shida gani 😌😌
 
Hilo halipingwi.

Na zuchu ndo kajua kutuharibia kabisa dada zetu, kuna verse niliisikia kwa nyimbo yake anasema " hata nikidanga jamani acheni napambana"

Na hiyo nyimbo mabinti wa hiyo age wanaikubali mbaya mbovu.
 
Back
Top Bottom