Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,894
Kwema Wakuu!

Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo.

Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa sababu zifuatazo;

1. Supply ya papuchi Kwa sasa ni kubwa, automatically demand itakuwa ndogo na hiyo itasababisha thamani ya papuchi kuwa ndogo kabisa. Yaani Kupata ngono Kwa sasa ni rahisi kuliko, Njia za Huduma ya upatikanaji WA papuchi zimerahisishwa. Ukitaka kununua Mwanamke unampata iwe ni hapohapo mtaani, madanguro au Bar, au unaenda Lodge, kote Huko unapata tena Kwa gharama nafuu kabisa.

Zipo Site kibao mtandaoni ambazo ni wewe tuu na bando lako na Tsh 15,000/= unajipatia Mwanamke mzuri ambaye utamtumia Kwa mchezo mmoja tu.

Kwa sasa kutongoza ni kama mchezo Fulani hivi wa Watoto wanaobalehe, au waigizaji(Watu wa Drama). Hakuna tena mambo ya kubembelezana na kuchomeshana mahindi.

2. Unatongozaje Mwanamke ambaye anajiuza au wenzako wanamnunua? Labda uwe hamnazo, yaani uende kwenye danguro ukatongoze, umelogwa nini? Huwezi mtongoza Mwanamke anayejiuza au anayenunuliwa.
Vijana wameona kuwa siku hizi hakuna mapenzi isipokuwa biashara. Yaani unamtongoza Mwanamke leo alafu kesho anakutumia bills kama zote. Hiyo kwetu Sisi wanaume hasa WA zama hizi tunaita biashara.

Zamani Watu walikuwa wanatongoza Wanawake ambao kuna uwezekano wakawa Wake wakuwaoa. Na Mwanamke mwenye Sifa hizo hawezi tanguliza Pesa. Siku hizi kila Mwanamke anahitaji kununuliwa au kujiuza.

Yaani kijana akununue alafu akutongoze tena, huyo kijana labda awe Mshamba hivi. Kampeni ya tafuta Pesa ni nzuri Sana lakini sio nzuri katika upande wa mahusiano ya kimapenzi Kwa sababu Vijana WA leo wanaile kasumba ya kuwa wakipata Pesa watapata(watanunua) Mwanamke yeyote.

3. Vijana wanaakiba au ziada (Surplus) ya kutosha ya Wanawake.
Unakuta kijana anawanawake watano hivi wa ziada ambao muda wowote akipiga simu wanaweza kumpa papuchi bila gharama yoyote. Mwanaume akutongoze Wakati akikulinganisha na Wanawake alionao anaona bado hauwafikii hata robo. Hiyo ni sababu nyingine Vijana WA siku hizi hawatongozi wala kubembele bembeleza.

4. Wamama Watu wazima wanatembea na Vijana
Vijana wa siku hizi hawataki kusumbuana na Wadada wadogo ambao wengi wao ni Maskini, fukara na ombaomba. Vijana tayari wanawamama Watu wazima(waliowazidi umri) wenye mifumo ya Kupata kipato iwe Mama ntilie, kazi za kuajiriwa au wajasiriamali.

Ajabu NI kuwa Wanawake wakubwa(Watu wazima) ni Wazuri kuliko vibinti vya sasa. Hivyo Vijana wanaona hawa mabinti Kwanza Pesa Hawana, pili sio Wazuri kama Dada au Mama zao, yanini kuhangaika nao. Hivyo wanawakaushia.

5. Vijana hawataki kuoa Kwa sababu hawataki kubebeshwa zigo la misumari
Kuoa siku hizi ni kubebeshwa Zigo la misumari. Zamani Sisi tulikuwa tayari kubebeshwa Hilo Zigo la misumari Kwa sababu hao Wanawake wenyewe walikuwa angalau(nasema angalau Kwa sababu sio kwamba hawakuwa na makandokando) na Maadili na uadilifu.

Siku hizi kuoa ni kujitafutia matatizo, kujinyonga, kujimaliza, kuingia katika mkopo wa kausha damu na wengi WA wanaume wamekaushwa Damu.

Kwanza Huko kwenye Ndoa hakuna la ziada, Huduma zote za ndoa zinapatikana nje ya Ndoa tena bila stress yoyote Ile. Tena Huduma za nje zinaubora Kwa sababu ni Huduma za kibiadhara halisi.

Kwa sasa Vijana hawataki kuoa kuepukana na kero za ajabu ambazo hazina msingi wowote.
Kijana anafikiria kutoa Mahari labda ya shilingi milioni tatu ili amnunue Mwanamke atakayemuita Mkewe, ambaye atakuwa Zigo la misumari.

Unahudumie Mwanamke yeye na Wazazi wake, na hapohapo upewe lawama kwa kushindwa kumfikisha Kibo, huo upuuzi Vijana wanaona ni Bora wasioe wanunue Malaya ambao ukiwapa elfu ishirini tuu utapewa kila kitu na hutotakiwa umfikishe kileleni wala hutasikia mambo ya kibamia. Hiyohiyo elfu 20 hutowajibika na mambo sijui ya Wazazi sijui kero za Ndugu, sijui vijora n.k.

Ukioa bado mambo sijui ya kusachiana Simu, mara sijui Ma-ex wake, yaani ukisikia Zigo la misumari ndio Hilo. Na Vijana WA Zama hizi hawataki kubeba mamizigo yasiyo na maana.

Vijana hawataki kuoa kuepukana na kadhia na kero za Wanawake katika Ndoa. Ndoa Kwa Wanawake ni sehemu ya kutua matatizo Yao Kwa wanaume. Wakati Kwa wanaume ndoa inaweza kuwa Kupata tendo la ndoa pekee. Na sio zaidi ya hapo.

Vijana WA siku hizi ndoa kwao ni Kupata Sex, ndio maana wataangalia zaidi muonekano wa kuvutia kingono, lakini wakijakusikia gharama za Kupata ngono kwenye Ndoa zilivyokubwa ukilinganisha na gharama za wanavyonunua wanaona eeeh! Acha wabakie mabachela.

Vijana wa sasa huzuga kama wanaoa ili wapate Watoto kisha Baada ya hapo hutoka nduki bila kuangalia Nyuma Baada ya Kupata Watoto.

Ulimwengu wa Haki Sawa umemrahisishia mwanaume Maisha, umempunguzia majukumu na Zigo la misumari ambalo alibebeshwa. Kwa sasa mahusiano yapo kama wanyama tuu. Kila MTU aishi na ajitegemee kivyake, mkihitajiana kingono mwenye shida atanunua ngono Kwa mwenzake.

Wapo Wanawake na ninawafahamu wananunua wanaume. Miaka ya 2014 ndio ilikuwa mara yangu ya Kwanza kuona Jambo Hilo, jijini Dar na Baadaye Arusha lakini Kwa sasa Jambo Hilo limezoeleka.

Unataka mwanaume toa Pesa, unataka Mwanamke toa Pesa. Malizaneni alafu kila mmoja apite Njia yake. Na sio kubebeshana mizigo na kutesana.

Kama Taikon Master, ninashauri maadili ya kitibeli yafuatwe. Na kama hayafuatwi nashauri Vijana waendelee vivyohivyo Kwa mustakabali wao.

Kama mmekataa kuwa waaminifu na waadilifu huku ndiko tulipofikia.

Huu ni mwanzo tuu wa kile kiitwacho tafuta Pesa. Hiyo Pesa kazi yake ni kununua Watu waliokwisha thamani Kwa sababu mtu asiye na thamani ndio hununuliwa na Pesa kama Bidhaa tuu.

Sisi Watibeli tulishatoa muongozo wetu;
1. Hakuna kutoa mahari
2. OA Mwanamke anayekupenda Sana
3. Mwanamke msaidiane, yaani naye mzalishaji,
4. Utapeli na unyonyaji wowote hautavumiliwa.
5. Zigo la misumari sijui wazazi wa Pande mbili halitakuwa jukumu la msingi la Familia Ila litakuwa jukumu la ziada.
Kama yeyote Kati yenu anataka kuliweka kuwa jukumu la msingi ambalo linaweza kuhatarisha ndoa yenu basi hiyo ndoa ivunjwe mara moja. Huo ni uhujumu WA ngome yenu.

6. Hakuna uvumilivu kwenye usaliti Kwa yeyote. Ndoa itavunjwa muda wowote.

7. Kwa vile wote mnawajibika kuzalisha Mali basi Mali ni zenu zote. Ikitokea mkaachana Mali zitagawanywa kadiri ya jasho la kila mmoja wenu.

8. Watoto NI WA wote hasa wakiwa Chini ya miaka 18. Hivyo ni jukumu lenu kila mmoja kutoa Matunzo Kwa Mtoto. Ikiwa mtaachana basi kila mmoja atachangia Nusu Kwa Nusu ya Matunzo. Hakuna cha sijui Mwanaume au Mwanamke. Kama vile chromosome mlivyompa mtoto Nusu Kwa Nusu huyo mtoto ndivyo hata Matunzo yatakuwa hivyohivyo.

9. Mtoto atakaa mahali ambapo itaonekana atapata Haki zake Kwa urahisi. Ikiwa Baba anauwezo na sehemu ya kumuweka huyo mtoto alafu Mama Hana basi Mtoto atakaa na Baba, na kinyume chake.
Yeyote hatakuwa na wajibu wa kumtunza Mwenza wake Baada ya kuachana.
Mwanamke hatamtunza mwanaume na wala mwanaume hatakuwa na wajibu wa kumtunza Mwanamke Baada ya kuachana. Huo ni Utapeli na unyonyaji.
Labda ifanyikie Kwa hiyari(mapenzi),

10. Ikiwa mtoto atafikwa na Mauti Kabla ya kujitegemea basi Mtoto atazikwa upande ambao analelewa Kwa muda husika iwe ni upande wa Mama yake au Baba yake.

11. Ikiwa mimba iliingia nje ya utaratibu iwe Kwa zinaa au ubakaji au bila makubaliano ya Mwanaume na Mwanamke. Hasa ambao hawapo kwenye Ndoa(makubaliano) basi mimba hiyo inaweza ikatolewa Kwa hiyari ya Wahusika Wawili ikiwa ni Watu wazima, ikiwa ni Binti mdogo ambaye hajafikisha umri wa utu uzima yaani Chini ya miaka 15 basi Wazazi na walezi wa Binti huyo watakuwa na hiyari ya kuitoa mimba hiyo.

12. Ikiwa Mwenye mimba(Mwanamke) hataki mimba kutolewa iwe Kwa maslahi yake binafsi ya kupenda Kupata mtoto, au Imani yake juu ya miungu, alafu mwanaume anataka kuitoa mimba hiyo na hawapo kwenye ndoa(yaani walifanya zinaa) basi wapewe kiapo cha maandishi. Wasainishane kuwa hiyo mimba na hiyo mtoto hatakuwa mtoto wa huyo Mwanaume, na hatahusika Kwa lolote. Na ndivyo itakavyokuwa.

Ikiwa Mwanaume ndio yuataka hiyo mimba isitolewe Kwa maslahi yake binafsi au kulingana na Imani juu ya miungu yake, lakini mwanamke aliyeibeba yuataka mimba hiyo itolewe, mimba hiyo itatolewa Kwa sababu mimba ni Mali ya Mwanamke lakini mtoto akizaliwa ni Mali ya wote.
Lakini ikiwa kutakuwa na Teknolojia au sayansi ya kuzihamisha mimba Kwa mtu mwingine au kwenye chombo kingine cha kibinadamu na ikafanya kazi, basi huyo Mwanaume atamuomba Yule Mwanamke aliyempa mimba ambaye yuataka kuitoa, aimpe hiyo mimba na kuihamishia pengine. Lakini Mwanamke atakuwa na hiyari ya Kukataa au kukubali.

Ikiwa kuna yeyote ataona kutoa mimba sio uungwana au ni Jambo Baya basi angepaswa kufikiri zaidi ubaya kinachosababisha hiyo mimba kuliko matokeo ya zinaa au ubakaji.

Sheria za Tibeli hazimtamuwajibisha mtu Kwa Jambo ambalo hakuliridhia na alilazimishwa. Sheria za Tibeli zitakuwa na nguvu katika makubaliano ya Wahusika na hayo makubaliano yakivunjwa bila utaratibu.

Mtu hatakuwa na hiyari ya kuua Mtu mwingine(aliyekwisha kuzaliwa) lakini MTU atakuwa na hiyari ya kujiua mwenyewe ikiwa ni mapenzi yake Mwenyewe kufanya hivyo. Lakini atakuwa na ruhusa ya kujiua ikiwa yafuatayo yatakuwepo;
a) Ikiwa hana Watoto aliowazaa Kwa hiyari na ridhaa yake.
b) Ikiwa anaumwa Sana au anakabiliwa na changamoto ambayo kwake inamfanya ajione Hana uwezo wa kuendelea kuishi bila kuathiri kipengele (a).

C) Ikiwa amefikisha umri wa utu uzima. Mtoto Mdogo hatakuwa na Haki ya kujiua.

Taikon mbona kama unapotea nje ya mada. Vizuri! Mmefanya vyema kunikumbusha!

Sheria hizo niza Tibeli na Watibeli. Zitazingatia HAKI, UPENDO, AKILI NA UKWELI.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Kwema Wakuu!

Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo.

Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa sababu zifuatazo;

1. Supply ya papuchi Kwa sasa ni kubwa, automatically demand itakuwa ndogo na hiyo itasababisha thamani ya papuchi kuwa ndogo kabisa.
Yaani Kupata ngono Kwa sasa ni rahisi kuliko, Njia za Huduma ya upatikanaji WA papuchi zimerahisishwa.
Ukitaka kununua Mwanamke unampata iwe NI hapohapo mtaani, madanguro au Bar, au unaenda Lodge, kote Huko unapata tena Kwa gharama nafuu kabisa.

Zipo Site kibao mtandaoni ambazo ni wewe tuu na bando lako na Tsh 15,000/= unajipatia Mwanamke mzuri ambaye utamtumia Kwa mchezo mmoja tuu.

Kwa sasa kutongoza ni kama mchezo Fulani hivi wa Watoto wanaobalehe, au waigizaji(Watu wa Drama). Hakuna tena mambo ya kubembelezana na kuchomeshana mahindi.

2. Unatongozaje Mwanamke ambaye anajiuza au wenzako wanamnunua?
Labda uwe hamnazo, yaani uende kwenye danguro ukatongoze, umelogwa nini?
Huwezi mtongoza Mwanamke anayejiuza au anayenunuliwa.
Vijana wameona kuwa siku hizi hakuna mapenzi isipokuwa biashara. Yaani unamtongoza Mwanamke leo alafu kesho anakutumia bills kama zote. Hiyo kwetu Sisi wanaume hasa WA zama hizi tunaita biashara.

Zamani Watu walikuwa wanatongoza Wanawake ambao kuna uwezekano wakawa Wake wakuwaoa. Na Mwanamke mwenye Sifa hizo hawezi tanguliza Pesa.
Siku hizi kila Mwanamke anahitaji kununuliwa au kujiuza.

Yaani kijana akununue alafu akutongoze tena, huyo kijana labda awe Mshamba hivi.
Kampeni ya tafuta Pesa ni nzuri Sana lakini sio nzuri katika upande wa mahusiano ya kimapenzi Kwa sababu Vijana WA leo wanaile kasumba ya kuwa wakipata Pesa watapata(watanunua) Mwanamke yeyote.

3. Vijana wanaakiba au ziada (Surplus) ya kutosha ya Wanawake.
Unakuta kijana anawanawake watano hivi wa ziada ambao muda wowote akipiga simu wanaweza kumpa papuchi bila gharama yoyote.
Mwanaume akutongoze Wakati akikulinganisha na Wanawake alionao anaona bado hauwafikii hata robo. Hiyo ni sababu nyingine Vijana WA siku hizi hawatongozi wala kubembele bembeleza.

4. Wamama Watu wazima wanatembea na Vijana.
Vijana wa siku hizi hawataki kusumbuana na Wadada wadogo ambao wengi wao ni Maskini, fukara na ombaomba. Vijana tayari wanawamama Watu wazima(waliowazidi umri) wenye mifumo ya Kupata kipato iwe Mama ntilie, kazi za kuajiriwa au wajasiriamali.

Ajabu NI kuwa Wanawake wakubwa(Watu wazima) ni Wazuri kuliko vibinti vya sasa. Hivyo Vijana wanaona hawa mabinti Kwanza Pesa Hawana, pili sio Wazuri kama Dada au Mama zao, yanini kuhangaika nao. Hivyo wanawakaushia.

5. Vijana hawataki kuoa Kwa sababu hawataki kubebeshwa zigo la misumari.
Kuoa siku hizi ni kubebeshwa Zigo la misumari.
Zamani Sisi tulikuwa tayari kubebeshwa Hilo Zigo la misumari Kwa sababu hao Wanawake wenyewe walikuwa angalau(nasema angalau Kwa sababu sio kwamba hawakuwa na makandokando) na Maadili na uadilifu.

Siku hizi kuoa ni kujitafutia matatizo, kujinyonga, kujimaliza, kuingia katika mkopo wa kausha damu na wengi WA wanaume wamekaushwa Damu.

Kwanza Huko kwenye Ndoa hakuna la ziada, Huduma zote za ndoa zinapatikana nje ya Ndoa tena bila stress yoyote Ile. Tena Huduma za nje zinaubora Kwa sababu ni Huduma za kibiadhara halisi.

Kwa sasa Vijana hawataki kuoa kuepukana na kero za ajabu ambazo hazina msingi wowote.
Kijana anafikiria kutoa Mahari labda ya shilingi milioni tatu ili amnunue Mwanamke atakayemuita Mkewe, ambaye atakuwa Zigo la misumari.
Unahudumie Mwanamke yeye na Wazazi wake, na hapohapo upewe lawama kwa kushindwa kumfikisha Kibo, huo upuuzi Vijana wanaona ni Bora wasioe wanunue Malaya ambao ukiwapa elfu ishirini tuu utapewa kila kitu na hutotakiwa umfikishe kileleni wala hutasikia mambo ya kibamia. Hiyohiyo elfu 20 hutowajibika na mambo sijui ya Wazazi sijui kero za Ndugu, sijui vijora n.k.

Ukioa bado mambo sijui ya kusachiana Simu, mara sijui Ma-ex wake, yaani ukisikia Zigo la misumari ndio Hilo. Na Vijana WA Zama hizi hawataki kubeba mamizigo yasiyo na maana.

Vijana hawataki kuoa kuepukana na kadhia na kero za Wanawake katika Ndoa.
Ndoa Kwa Wanawake ni sehemu ya kutua matatizo Yao Kwa wanaume. Wakati Kwa wanaume ndoa inaweza kuwa Kupata tendo la ndoa pekee. Na sio zaidi ya hapo.

Kipengele namba 2 hii imenifikirisha zaidi.
 
Stori ndefu, ukweli ni kuwa sikukusoma, kwa sababu inajulikana kwa sentensi moja tu kwanini vijana hawataki kuoa na kuolewa.

Sababu ni ushoga na usagaji tu. Hakuna zaidi.

Lile kanisa maarufu linaloendeshwa na watu wasioowa wala kuolewa linafanya kazi nzuri sana ya kutengenza wimbi la vijjana wa aina yao.
 
Stori ndefu, ukweli ni kuwa sikusosoma, kwa sababu inajulikana kwa sentensi moja tu kwanini vijana hawataki kuoa na kuolewa.

Sababu ni ushoga na usagaji tu. Hakuna zaidi.

Lile kanisa maarufu linaloendeshwa na watu wasioowa wala kuolewa linafanya kazi nzuri sana ya kutengenza wimbi la vijjana wa aina yao.

Kwema Mkuu.
Tatizo lako kuu Faiza linalokupunguzia Sifa njema ni udini.
Kanisa lina sababu zake nyingi za kufanya hivyo, mojawapo ni Hiyari ya MTU kuamua kuoa au kutokuoa. Kuoa ni hiyari sio lazima.

Ipo mifano ya Manabii wakubwa na wenye heshima ambao hawakuwa wameoa. Na zipo sababu za wao kufanya hivyo.

Kanisa linaongozwa na Kanuni ya upendo hasa kwenye Mambo yasiyo kuwa ni amri na sheria. Mfano kwenye Ukristo au uyahudi hakuna amri ya lazima ya MTU kuoa au kuolewa Ila Ipo amri ya kukataza zinaa(uzinzi).

Tukisema tuchambua mambo kidini basi Huko tutavurugana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom