hawataki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hoteli na Migahawa ya siku hizi imekaa kimchongo sana yaani hawataki kuandika menyu kabisa!

    Kwanza enzi hizo tulizoea jina moja tu la hoteli. Hili neno mgahawa lilikuja kama jipya/geni hivi na tukazoea taratibu kwahiyo hapa nitatumia neno mgahawa au hoteli kumaanisha kitu kimoja. Sizungumzii makitu makubwa makubwa hapa nazungumzia vimigahawa vya kawaida vinavyopatikana uswahilini...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Wazee Moshi Hawataki kabisa kusikia chochote juu ya Mbowe

    Nipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe Nimejaribu kuanzia home kwa majirani na kila mtu ninayepiga naye story anaonyesha kuuzunishwa na Mbowe !! Hai kipindi kile kumbe Kuna watu kibao walipoteza Mali zao sababu ya chama sasahivi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wamefuta nyota kwenye jezi za ligi ya mabingwa. CAF hawataki nyota hewa. Ni mabingwa tu ndio wana nyota

    Habari wadau Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league.. Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za caf champions league na ligi kuu ya tanzania. Watu wengi walishangaa why jezi ya mamelodi iwe na...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki because huduma itakata.

    ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye pesa wanazaa naye ili wapate maisha kupitia yule mtoto wake Andika na hii ya mwisho, wapo wadada...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani huu ni uzio Trump alijenga border na Mexico ila upo katika Border ya Misri na Gaza. Wamisri hawataki ukorofi wa watu wa Palestine

    Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan. Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko. Wanajua #freepalestine ni utapeli
  7. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Hashem Safieddine mpwa wa Nasrallah ambae amechaguliwa kua kiongozi mpya wa Hizbolah ameuwawa na majeshi ya Israel masaa machache baada ya kuchaguliwa

    May all souls find enlightment. Aise mwaka huu waarabu maji wataita mma. Yani ni bampa to bampa Mayahudi wachafukwa wameamua kuonyesha nani ni baba na mtoto ni nani adabu ifuate mkondo wake. Naona waarabu na hata hawa wasuasi wa waarabu huku Kolomije kimoyo moyoni wametambua Israel sio size...
  8. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    aljazeeraenglish The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠ .⁠ #Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
  9. herrera

    JamiiForums Tanzania JE CRDB hawataki kukopesha?

    Wakuu kama kuna mtu wa crdb humu au mwenye taarifa kamili naomba atujuze hili suala. Mimi ni mtumishi wa serikali nilifanya maombi ya mkopo toka jumatatu kupitia mfumo wa ess ila maombi yakawa yamekwama level ya service provider ku accept ili afisa utumishi aweze kuona na kupitisha, kesho yake...
  10. Nasdaq

    JamiiForums Tanzania Siri ya waliofanikiwa ambayo hawataki uijue

    Wote tumedanganywa kwamba eti waliofanilikwa ni wavivu na wanapenda kurahisisha mambo ndo maana wamefanikiwa where ukweli ni vice versa waliofanikiwa ndo watu wanaopambana kupita kiasi Point yangu ni nini Put in more time than what will be required.
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Watanzania hawataki maandamano, na sidhani kama polisi wanaweza kuzuia maandamano yenye tija kwa taifa

    Chanzo cha matatizo yote ni katiba mbovu tuliyonayo haya mengine kwa sasa yanategemea sana busara za kiongozi mkuu wa nchi. Ukiandaa maandamano ndani yake kukawa na Samia Must GO ndani ya kuomba haki tayari kuna dalili za uvunjifu wa katiba hii hii mbovu tunayo itumia ,kwa hapa huwezi walaumu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kadri siku zinavyoenda kanisa katoliki linapotea slowly kwa sababu watu hawataki kusali kimprinsiple preiple.

    Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga. Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jamaa wa Kenya imembidi awaoe mapacha maana hawataki kutenganishwa

    Ni mtangazaji wa Redio huko Kesho na umri wa miaka 26 na madenti wenyewe wana 20. Madenti wanasema hawajawi kutenganishwa tangu utoto, shuleni hadi ukubwani. Mabaharia wa JF naona tayari mmeshaanza fantasies zenu za threesome hahahah. Jamaa anasema: “Niliona wanafanana kwa kila kitu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mliofanya interview ajira za utumishi, ni kweli hawataki vyeti vyenye majina matatu tu?

    Habari wana JF, Hivi ni kweli utumishi wanataka cheti chenye majina matatu? Na je sisi ambao vyeti vya taaluma vina Initial tu pale jina la kati kati inakuwaje? Je, sisi wenye vyeti vya taaluma vyenye jina la kati kati Initial pekee inatakiwa tufanyaje?
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 kwanini viongozi wa CCM hawataki kuachia Dola.

    Hello! Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness. 2015 mkashindwa 2020 mkashindwa Hiyo 2025 mtawezaje? Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2. 1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania BMW X3 Fourth Generation: Hawa Wajerumani hawataki mchezo aisee!

    Wakali kutoka Munich juzi juzi wamezindua all new BMW X3 generation ya nne, wakiwa wameredesign kuanzia muonekano wa nje na ndani na driving experience. Pichani juu ni generations tatu zilizotangulia, ya kwanza ipo kushoto na ya pili kulia wakati ya tatu ndio iyo katikati. Ikumbukwe BMW...
  17. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini mama zetu ambao ni single mother hawataki tuoe single mothers?

    Mama zetu ambao wamekuwa single mothers ukitaka akupe laana basi wewe oa single mother Hawataki kabisa usogelee single mother katika MAISHA yako
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Lebanon wanaowahifadhi Magaidi wa Hezbollah Kuishambulia Israeli walikuwa wanasubiri Kiongozi wao Auliwe leo ndiyo waseme hawataki Vita?

    BBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
  19. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hawataki!

    Hawataki kuolewa na wanaume wasio na pesa nyingi, ila wanataka kaka zao wasio na pesa nyingi waoe.
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanaoanguka kanisani ni wanaopenda, wapiga picha na mabodigadi hawaanguki kwa sababu hawataki

    Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja. Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
Back
Top Bottom