hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Yanga hata ikiwa mbovu haijawahi kumaliza ligi nje ya nafasi ya tatu?

    Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ? Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi...
  2. JamiiForums Tanzania Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

    Bingwa. Yanga Kocha bora. Gamondi Kipa bora. Diarra Beki bora. Yao Kiungo bora. atatoka Yanga MVP . atatoka Yanga Simba sijui mtapata nini msimu huu.
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

    Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi. Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha. NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
  4. JamiiForums Tanzania Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje? Huoni kwamba, ama tunaongozwa na...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Aibu tupu!! Vyuo vya Tanzania mtu anasoma masomo ya biashara miaka mitatu na kulipa almost milioni 5 lakini hajui hata kufungua biashara

    Yani hawa wahitimu wakitaka kuanza biashara unaweza kudhani hata hawakufika chuo, Unakuta mhitimu ana Diploma au Degree ya Business Administraion au Business Management lakini hawezi kufanya haya mambo ya kawaida, inabidi aelekezwe huko kwenye stationery tena wakati fulani anaelekezwa na mtu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

    Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana. Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais Mwinyi na Viongozi wenzake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha anawaletea maendeleo wananchi na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi yetu iliyojaa fursa na rasilimali hayumo Mtanzania hata mmoja wa asili kwenye kumi bora ya matajiri?

    Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti la kwanza huwa ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni, hawa watu wametupiga gepu refu sana, hata top 20 ya matajiri huwezi kuta mtanzania wa asili, wakimbiza vibaya mno !! Tukiwatoa hao waarabu na wahindi ndio tunafuata sisi watanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
  9. JamiiForums Tanzania Hizi siku mbili tatu sijawa mimi kabisa. Naanza kama hata kuugua

    Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ? Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
  10. JamiiForums Tanzania Kikubwa wote tumefungua kinywa hata kama mmenizidi!

  11. B

    JamiiForums Tanzania Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

    Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio. Kweli wanaume tumeumbwa mateso. Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaidi wengine. Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke...
  12. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Nakiona Kitanzi cha Bima ya Afya kwa wote kabla hata hatujafika Mbali

    Nitashukuru Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu mkatoa maelezo kwa umma ni kwa vipi wakati pricing list ya 2016 (NHIF) inatolewa bei ya petroli ilikuwa shilingi chini ya 1700 kwa lita dola moja ilikuwa chini ya 2100 halafu pricing list mpya ya NHIF inayoanza kutumika kesho Machi Mosi Petroli ikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ninachowapendea Al Ahly wao hata wakiwa Wameshafuzu kutoa Kipigo Kitakatifu kuko pale pale tu

    Kila la Kheri National Al Ahly FC mechi yao ya mwisho ya CAFCL huko Kwao Weekend hii japo bado sijajua anacheza na nani.
  14. JamiiForums Tanzania Nikiwaza kua ndoa yaweza vunjika hata baada ya miaka 15, nakosa furaha

    Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja. Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote. I real don't...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

    1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot. 2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

    Wengine mara kwa mara tumekuwa tunajitahidi kusema ukweli na kuwapa maua yao hawa Yanga toka msimu huu unaanza. Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga inacheza mpira wa kueleweka, ni timu yenye kasi na inaweza kulazimisha ushindi pale mambo yanapokuwa magumu. Pamoja na kwamba kuna mara kadhaa katika...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  20. JamiiForums Tanzania Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

    Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue. Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…