Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,133
20,296
Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana.

Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais Mwinyi na Viongozi wenzake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha anawaletea maendeleo wananchi na kupambana na hatari ya tabia mbaya za kudhalilisha watu kijinsia ikiwemo ulawiti, ubakaj, uzinzi na liwaati.

Sasa inapoonekana Msanii ambaye ameaminiwa na jamii kuonekana kuwa kinara kwenda kinyume na Jitihada za Taifa hasa kwenye Swala la maadili basi hatua kali zinapaswa kuchukuliwa.

Baraza la Sanaa la Zanzibar limechukua hatua madhubuti japo bado naona Adhabu ni ndogo.

Nitoe wito kwa Baraza la Sanaa Tanzania kuwa kinara na mfano bora kutoa usimamizi juu ya ustawi wa Mila na desturi zetu Watanzania.

Hala hala Basata tunasubiri hatua zenu ili na wasanii Wengine wajifunze.

Sanaa Zetu zijikite kuleta burudani, kuhamasisha vijana kufanya kazi kwa bidii, kuheshimu viongozi ktk familia, Jamii na Taifa kwa ujumla.

Sanaa inayohamaisha watu kujikwamua na kujikomboa kifikra na kupambania haki za binadamu wengine.

Sanaa ijiepushe kuhamasisha Ngono, Ulevi, uvivu, bata, matusi na ushoga.
 
Moderatora tafadhali uzi huu usiunganishwe
Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana.

Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais Mwinyi na Viongozi wenzake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha anawaletea maendeleo wananchi na kupamba na hatari ya tabia mbaya za kudhalilisha watu kijinsia ikiwemo ulawiti, ubakaj, uzinzi na liwaati.

Sasa inapoonekana Msanii ambaye ameaminiwa na jamii kuonekana kuwa kinara kwenda kinyume na Jitihada za Taifa hasa kwenyw Swala la maadili basi hatua kali zinapaswa kuchukuliwa.

Baraza la Sanaa la Zanzibar limechukua hatua madhubuti japo bado naona Adhabu ni ndogo.

Nitoe wito kwa Baraza la Sanaa Tanzania kuwa kinara na mfano bora kutoa kusimamia ustawi wa Mila na desturi zetu Watanzania.

Hala hala Basata tunasubiri hatua zenu ili na wasanii Wengine wajifunze.

Sanaa Zetu zijikitw kulete burudani, kuhamasisha vijana kufanya kazi kwa bidii, kuheshimu viongozi ktk familia, Jamii na Taifa kwa ujumla. Sanaa inayohamaisha watu kujikwamua na kujikomboa kifikra na kupambania haki za binadamu wengine.

Sanaa ijiepushe kuhamasisha Ngono, Ulevi, uvivu, bata, matusi na ushoga.
 
Hujaona ameenda kuomba msamaha akapiga picha kabisa huku kashika barua ya msamaha akiwa na vile vizee vya basata tena vilikua vinatabasamu yawezekana vilikua vina mmezea mate kimya kimya, na huu upumbavu wa kuimba matusi hauwezi kuisha kwa sababu atakuja msanii mwingine ataimba zaidi ya hivyo waki muwajibisha atawauliza mbona yule mlimuacha
 
Na hii ni mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom