Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,129
7,896
Wengine mara kwa mara tumekuwa tunajitahidi kusema ukweli na kuwapa maua yao hawa Yanga toka msimu huu unaanza.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga inacheza mpira wa kueleweka, ni timu yenye kasi na inaweza kulazimisha ushindi pale mambo yanapokuwa magumu.

Pamoja na kwamba kuna mara kadhaa katika ligi ya NBC ni kama ilibebwa kiaina mfano katika ile game ya Kagera Sugar ila "overall" hauwezi kubeza uwezo na kiwango ambacho wamekionyesha.

Naona kabisa hata kama wangepata ushindi mwembamba jana, Yanga ilikuwa na uwezo wa kwenda kulazimisha sare au hata ushindi katika mechi dhidi ya Al Ahly.
 
Hapa ulitoa maneno yapi?
IMG_20240225_102638.jpg
 
Sasa tushike lipi kata ya haya ya leo au la juzi? Mnajifanya mnajua kuichambua Yanga kumbe hamna kitu kichwani.
IMG_20240225_102638.jpg
 
Hadi Sasa Dar Young Africans Tunahitaji Kuongoza Kundi Kuna Team Tunaitafuta Maana Hiyo Team Hata Ikipambana Vipi Mwisho Wake Ni Kuwa Nafasi Ya Pili.

Kila La Kheri Dar Young Africans Jijini Cairo Tunapoenda Kumuangusha Al Ahly.
Itapendeza sana kama Africa itaweza kushuhudia Kariakoo Derby katika hadhi na level ya mashindano ya CAF.
 
Madu hapo juu kakuonesha risiti yako, sema umepita kama kama unadaiwa vile.
Yupi huyo maana kuna watu ukiona siwajibu ujue nimewablock zamani sana. Kuna watu wanajisahau sana wanaongea bila adabu kwa hiyo dawa ni kuwapiga tu tofali
 
Mkuu nakubali sana juhudi zako na naziunga mkono maana unagawa dozi murua kwa Makolo,kifupi hawa jamaa wiki yote hii hawapaswi kuwa na furaha wala kuishi kwa Amani humu kwa shombo walizo kuwa wanaongea .

Wape risiti zao piga kazi mkuu mpaka Makolo wawe Mazuzu , anko wake Shadeeya Mwasibu OKW BOBAN SUNZU mpaka sasa hatujui Yuko wapi na ataibuka lini na bado siku Mwasibu akijirogo kuja kucheki Hali ya hewa humu asiachwe bila kukutanishwa na Dozi inayoendelea humu.
 
Wanajifanya wanaijua sana Yanga, sasa jana wakafundishwa kuweka akiba ya maneno. Yaani walijikuta wao ni Mungu, waganga wa kienyeji, wapiga ramli na makocha wanayoijua Yanga kuliko.

Sasa jana ngoja comment moja ya mechi ya mkuu wao wa kamati ya roho mbaya akisema Yanga imejua kumshangaza. Ngoja niitafute ile risiti yake niiweke hapa. Yani mtu anaapa kabisa kwamba kitu fulani hakiwezekani unajiuliza huyu mtu mpira kaujulia juzi juzi nini?. Yanga kutoa sare Cairo ni sawa na kuvaa boksa unavuka maji huku pumbu zisiloe. Haya ni maneno sio ya mtu anayejua mpira sawa sawa. Sasa kilichotokea jana atakaa atafikiria kilichofanyika ni kigumu zaidi ya hilo alilojiapiza nalo
 
Dah! Ila mashabiki wa simba kabla ya mechi yetu ya jana, mlichonga sana! Tena mlivyo bahatisha ile droo na vibonde wenzenu Asec Mimosa; ndiyo mlichonga kweli!

Halafu mwisho wa siku, eti yule wa mwisho mliyekuwa mkimcheka, kumdharau, na kumkejeli! Amekuwa wa kwanza!!
 
Mkuu nakubali sana juhudi zako na naziunga mkono maana unagawa dozi murua kwa Makolo,kifupi hawa jamaa wiki yote hii hawapaswi kuwa na furaha wala kuishi kwa Amani humu kwa shombo walizo kuwa wanaongea .

Wape risiti zao piga kazi mkuu mpaka Makolo wawe Mazuzu , anko wake Shadeeya Mwasibu OKW BOBAN SUNZU mpaka sasa hatujui Yuko wapi na ataibuka lini na bado siku Mwasibu akijirogo kuja kucheki Hali ya hewa humu asiachwe bila kukutanishwa na Dozi inayoendelea humu.
Si tulishakubaliana kwamba robofainali siyo mafanikio?
 
Wanajifanya wanaijua sana Yanga, sasa jana wakafundishwa kuweka akiba ya maneno. Yaani walijikuta wao ni Mungu, waganga wa kienyeji, wapiga ramli na makocha wanayoijua Yanga kuliko.

Sasa jana ngoja comment moja ya mechi ya mkuu wao wa kamati ya roho mbaya akisema Yanga imejua kumshangaza. Ngoja niitafute ile risiti yake niiweke hapa. Yani mtu anaapa kabisa kwamba kitu fulani hakiwezekani unajiuliza huyu mtu mpira kaujulia juzi juzi nini?. Yanga kutoa sare Cairo ni sawa na kuvaa boksa unavuka maji huku pumbu zisiloe. Haya ni maneno sio ya mtu anayejua mpira sawa sawa. Sasa kilichotokea jana atakaa atafikiria kilichofanyika ni kigumu zaidi ya hilo alilojiapiza nalo
Huyu hapa hater baada ya kuidharau Yanga kwa kila aina ya dhihaka,Yanga ikamuumbua.
 
Attachments

  • IMG_20240225_215624.jpg
    IMG_20240225_215624.jpg
    46.9 KB · Views: 1
  • IMG_20240225_220221.jpg
    IMG_20240225_220221.jpg
    102.3 KB · Views: 1
  • IMG_20240225_220132.jpg
    IMG_20240225_220132.jpg
    160.5 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom