Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,992
45,497
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi.

Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.

NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
 
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.

Inafikirisha Sana hili jambo.

Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.

NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Mbona hata ma lecturers vyuoni nawenyewe hajui kiingereza wanaongea kiswahili 70% kwa 30 wakiwa wanafundisha, huo niugonjwa mkubwa wakutojua kiingereza, na tunaanza kutetea ujinga kwa kujilinganisha na nchi kama japan, China na Russia, kwa kusahau kwamba sisi kiingereza tunaanza kufundisha darasa la kwanza.
 
Kumbuka ambao hawajui kiingereza na wanatamba na lugha zao ni mataifa tajiri. Bidha wanazozalisha wanaandika kwa lugha yao na unabidi ujifunze hiyo ludha ili uelewe kilichoandikwa. Wewe na kiswahili chako unazalisha nini ili uwauzie wajifunze lugha yako? Kiingereza ni muhimu ndio maana ukikijua unaonekana ni msomi kumbe ni mbwembwe tu! Angalia English na French zote ni za mataifa makubwa yanayojulikana duniani, ukitaka ujulikane na usiwe na shida duniani zijue hizo lugha.
 
Kiswahili kinafelisha sana
 
Acha uongo mzee 😂😂😂
Eg hapa bongo, ushawahi ona bidhaa imetoka china haina English user manual? Kwamba lazima ujifunze kichina kufanya biashara china ?

English ni international language, fanya ufanyavyo inabidi uijue tu, hakuna kukwepa, hakuna mtu atajifunza lugha yako ili aje anunue kitu kwako, ni wew muuzaji inabidi ujifunze lugha ya mteja ili ukamuuzie yeye,
 
English ni lugha ya hela. Kuifahamu tu vizuri tayari ni hatua muhimu kwenye mapambano dhidi ya umaskini. Hata nchi zinazozungumza kifaransa kwa sasa zinapambana kujua kiingereza. Wakongo wengi kwa sasa wanahakikisha watoto wao wanaimudu lugha ya malkia. Hata kiswahili nacho kwa huu ukanda wetu kinazidi kushika kasi. Majirani hasa wa SADC wanapambana sana kukijua.
 
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.

Inafikirisha Sana hili jambo.

Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.

NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Kwa Afrika nadhani ni Somalia pekee ( sina uhakika) wasiotumia lugha ya Kigeni kufundishia watoto wao.
Nilikutana na Prof mmoja wa Somalia nchini Canada kwenye mhadhara chuo Kikuu hakika alikuwa kivutio.
Mambo yake yaliwasilishwa kwa kisomali kisha mkalimani akafanya yake.
Baada ya mhadhara ule akabatizwa kwa jina la LOCAL PROFESSOR.

Someni Kiinglishi mtoke kimataifa
 
English ni lugha ya hela. Kuifahamu tu vizuri tayari ni hatua muhimu kwenye mapambano dhidi ya umaskini. Hata nchi zinazozungumza kifaransa kwa sasa zinapambana kujua kiingereza. Wakongo wengi kwa sasa wanahakikisha watoto wao wanaimudu lugha ya malkia. Hata kiswahili nacho kwa huu ukanda wetu kinazidi kushika kasi. Majirani hasa wa SADC wanapambana sana kukijua.
Tanzania tulikosea sana kukitupa kiingereza na kutumia kiswahili. Kswahili kimefanya watu vilaza kujifanya wataalam na viongozi. Hebu fikiria kama lugha tunayotumia ingekuwa kiingereza watu kama kina Musukuma wangekuwa bungeni?
 
Kumbuka ambao hawajui kiingereza na wanatamba na lugha zao ni mataifa tajiri. Bidha wanazozalisha wanaandika kwa lugha yao na unabidi ujifunze hiyo ludha ili uelewe kilichoandikwa. Wewe na kiswahili chako unazalisha nini ili uwauzie wajifunze lugha yako? Kiingereza ni muhimu ndio maana ukikijua unaonekana ni msomi kumbe ni mbwembwe tu! Angalia English na French zote ni za mataifa makubwa yanayojulikana duniani, ukitaka ujulikane na usiwe na shida duniani zijue hizo lugha.
Umeliweka vizuri
 
Nchi hii tukianza kuchunguzana kuhusu makabila Atakaye bakia ni mgogo peke yake maana yeye ndo mwenye asili ya nchi hii wengine sote ni wahamiaji ndo maana nyerere aliliona hili na akafanya makao makuu kuwa dododma na kupinga vikali sana mambo ya ubaguzi wa makabila na msemo wale mkubwa ulikuwa unaulizia kabila la mtu kwani unataka kutambika na ukabila ni kama mchawi kula nyama za watu
Wazaramo wana Asili ya nchi Gani?
 
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.

Inafikirisha Sana hili jambo.

Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.

NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
kwasabb masomo yote ni hufundishwa kwa lugha ya kiingereza, kwa miaka yote mi3 au mi4, mathalani kwa shahada ya kwanza...

na kwahivyo yafaa uwe hodari wa lugha hiyo ya kiingereza na ndipo tupongeze ufaulu wako vinginevyo ni janjajanja tyuuu 🐒

kasomo kamoja tu ndio yaweza kua kiswahili na labda Espanol au french 🐒
 
kuna tofaouti kati ya usomi na intelligence....
Usomi inamaanisha kipindi ulichokaa darasani.
Intelligence inamaanisha uwezo wako wa kutumia akili yako na maarifa uliyonayo.
Naomba kuwasilisha..
 
Wacheni uongo na Ugaidi wa mtandaoni.

Kuongea lugha ya Kiingereza sio kipimo cha akili.

Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi
Kasema nani hayo?
.

Inafikirisha Sana hili jambo.
Haifikirishi, wewe ndie unaetaka kulazimisha mtu afikiririe kwamba hilo nalo ni lakufikiria.

Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
Ni nani au wapi hapa Tanzania huwa wanapima uwezo wa akili?"🤓:rolleyes:
Isitoshe, unaposema "Tunapima" una maana ya wewe na nani?
NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Wacha kutukana vijana. Na kupotosha umma.

Maarifa hayatokani kwa kujifunza lugha ya Kiingereza na vilevile sio kweli kwamba maarifa mengi yapo katika lugha ya Kiingereza. Huo ni upotoshaji
 
Back
Top Bottom