Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani sio kwa ajili ya waislamu tu. Ni kwa ajili ya wanadamu wote. Na hizi hapa ndio sababu zangu.
Kwanza awali ya yote kwa wewe usio fahamu leo nakuelekeza Jambo moja utakuja kunishukuru baadae.
Moon Calendar "kalenda ya Mwezi" ndio kalenda iliyo sahihi... Hata...
Huyu dada nmeanza naye uhusiano baada ya kukutana naye Mlimani City. Tukale wote na kupata nafasi ya kufahamiana. Then nikamrudisha Chuo. Yupo hapo Chuo cha Ardhi.
Last weekend akanambia yupo bored tu anatamani tupate muda wa kuwa pamoja.nikasema hewala baby unataka iweje akanambia niamue mimi...
Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar..
" Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu nzuri na ya Kiushandani na iliyoenea kila Idara kama Simba SC "
Kauli ya Kaimu Kocha Barnabas..
"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.