Inakuwaje nchi yetu iliyojaa fursa na rasilimali hayumo Mtanzania hata mmoja wa asili kwenye kumi bora ya matajiri?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti la kwanza huwa ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni, hawa watu wametupiga gepu refu sana, hata top 20 ya matajiri huwezi kuta mtanzania wa asili, wakimbiza vibaya mno !!

Tukiwatoa hao waarabu na wahindi ndio tunafuata sisi watanzania wa asili mbilikimo wa maendeleo ila kwa kuwa hata mbilikimo wana warefu wao basi hapo ndio utayakuta makabila yetu tunayoyasifia yana maendeleo.

Ni uwezo mdogo wa kufikiri, tumeridhika au nini?
 
Utajiri unatengenezwa kwa muda mrefu, watz wengi walifungwa na Nyerere kwenye ujamaa, ila nyerere aliwalegezea weupe, ndio mana makampuni kama GSM, SSB, METL yana miaka mingi toka kuanzishwa kwake, ila weusi kampuni zetu ndio kwanza za miaka ya 2000+ so no way zitakuwa kubwa
 
Utajiri unatengenezwa kwa muda mrefu, watz wengi walifungwa na Nyerere kwenye ujamaa, ila nyerere aliwalegezea weupe, ndio mana makampuni kama GSM, SSB, METL yana miaka mingi toka kuanzishwa kwake, ila weusi kampuni zetu ndio kwanza za miaka ya 2000+ so no way zitakuwa kubwa
Hivi GSM nayo ni ya kitambo? Miaka ya Nyuma, Mengi, Mafuruki na Diallo walikua wanaingia 10 bora
 
kwa sababu ya uislamu, matajiri waislamu wamepewa utajiri na maraisi waislamu au wametajirikia kwenye uraisi wa waislamu.

sasa kuna tofauti kwenye mafundisho ya kidini kati ya uislamu na ukristo, ukristo unapendelea wazawa wa nchi husika na wazawa wengi kwanza imo kwenye Biblia wakati waislamu unapendelea muislamu acchh it’s just too complicated naishia hapo …
 
Sasa TZ hamna orodha maalum ya matajiri, utajuaje nani kamzidi nani?

kwahiyo 'bilionea davis mosha' hayupo na ile lamborghini yake? akipita nayo mahali watu wanashangaa utafikiri sijui nini

ila nina uhakika madon weusi wapo kuna mambo nimeona huko duniani
 
Sijui wenzetu Nigeria wamewezaje hilo matajiri wao woote ni wazawa weusi...! Hakuna cha waarabu wala wahindi
 
Back
Top Bottom