haki

  1. R

    JamiiForums Tanzania HAKI ya kuchagua, iende sambamba na HAKI ya kumfuta KAZI kiongozi niliyemchagua, nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu?

    Salaam, Shalom!! Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo. Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Rushwa ni adui wa haki

    1:Elimu ya Uraia: Elimu ya uraia ni muhimu sana katika kuongeza ushiriki wa wananchi. Wananchi wanapaswa kuelewa vizuri madhara ya rushwa katika jamii na uchumi wa nchi. Wanapaswa pia kufahamu haki zao na jinsi gani wanaweza kuchukua hatua pale wanapokutana na rushwa. Elimu hii inaweza kutolewa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Rushwa ni adui wa haki kwa Mtanzania mpenda maendeleo

    Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote. Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya nchi yake. Tukisema rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania hatukosei hata kidogo walio wahi kutana na...
  4. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Haki: Manyerere Aachiwe Mara Moja - Katiba na Sheria Zinaunga Mkono Wito Huu

    Kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same, Kumradhi, Ninaandika andiko hili kwa lengo la kumtetea Naibu Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere, ambaye anashikiliwa kwa tuhuma za kupiga picha lori la mafuta lililoanguka. Kwa kutumia hoja zifuatazo za kisheria na kikatiba, ninaomba Manyerere aachiliwe...
  5. JamiiForums Tanzania Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

    Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
  6. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa anatuonesha jinsi mfumo wa utoaji haki ulivyooza...

    Kila maamuzi anayotoa Waziri wa Ardhi na Makazi na maendeleo ya Nyumba, Jerry Silaa ujumbe anaoutoa ni kwamba mifumo ya utoaji haki kwenye Taifa letu imeoza. Mabaraza ya Ardhi mpaka mahakama zetu zinatoa maamuzi yake kuhusu migogoro ya Ardhi kwa kuegemea zaidi mambo ya kiufundi (technicalities)...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni awataka Askari kuvitendea Haki Vyeo

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewataka Askari na Maafisa wa Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kutenda kazi kwa kufuata haki na uadilifu katika kuwahudumia wananchi baada ya Askari na Maafisa hao kupandishwa vyeo na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo yanayovunja Haki ya Kujieleza na Wapi Utapata Msaada

    Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara - Tanganyika Law Society(TLS) iliandaa Warsha kwa Wanahabari Jijini Dodoma Tarehe 4 Juni 2024 kuhusu Uhuru wa kujieleza. Hapa chini ni andiko la Mwanahabari Mkongwe mbaye pia ni Mwenyekiti wa Muungano wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (East Africa Press...
  9. JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa. Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira sio ndoto tena, ni haki: Kutetea haki ya kila kijana kupata ajira bora nchini Tanzania

    Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

    Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo. Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa ampongeza Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuwa alimtendea haki Baba yake 2015. Amuomba akasimamie kanuni zisikanyagwe tena

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara akitokea Mkoani...
  13. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili. Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa imeporwa! Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huko Afrika Kusini ANC imepigwa kipigo cha mbwa mwitu kwenye Uchaguzi. Je, huku kwetu CCM watakubali Uchaguzi Huru na wa Haki?

    Kilichotokea Kenya kikaua KANU kinakwenda kutokea Afrika Kusini. ANC imemeguka makundi kama ambavyo KANU ilimeguka kisha ikafa. Kifo cha KANU Kenya kilizalisha mapinduzi makubwa kisiasa na kiuchumi. Kupitia kifo cha KANU; 1. Walipata katiba nzuri 2. Wakapata tume huru ya uchaguzi 3. Wakapata...
  15. JamiiForums Tanzania Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii ni kwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki

    Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania wanahofu kwenye swala la kudai haki

    Serikali haina dini ila watu waliomo katika serikali wanamisingi ya dini, zipo theory ambazo zinaelezea tabia ya binadamu inavyoathiri taasisi/utendaji kazi mfano wa behaviorism theory japo kuna code of conduct zimetazamiwa kumctrol muhusika ila effect ya kinachomtengeza kinakuwepo akiwa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hii kesi mdogo wangu ana haki au hana?

    nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule akadai simu yake lakini mkuu wa shule amegoma kumrudishia na anadai simu imeharibiwa.Ni kweli sheria...
  19. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuboresha demokrasia huru na haki katika siasa

    III Tanzania yetu kufikia nchi ya ahadi inahitaji kuimarika katika ngazi ya demokrasia huru na kupunguza vitendo vinavyochochea ubaguzi wa kisiasa katika nyanja mbalimbali kama vile; 1. Uchaguzi kuwa wa haki na kweli Viongozi wanaopatikana kwa Uchaguzi wanatakiwa kuwa wale walochaguliwa na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haki ya kuabudu kwa walemavu wa kusikia

    Kwa kifupi kuabudu ni haki ya kikatiba kwa kila mtanzania. Walemavu wakusikia kama walivyo alemavu wengine wamesahaulika kabisa sehemu za ibada kama misikitini,makanisani.hata katika baadhi ya makusanyiko ya kijamii Walemavu wa kusikia wanakutana na changamoto kadhaa katika maeneo ya ibada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…