Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
WARAKA [MWONGOZO]
UCHAGUZI MKUU WA TAIFA
OKTOBA 2020 TANZANIA
Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
UTANGULIZI
Ugonjwa wa Korona – COVID-19
Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni:
1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa.
2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa kuzingatia misingi ya sheria. Tume ya Haki za Binadamu na Haki za Watu ya Umoja wa...
Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah.
Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya Serikali na utaratibu wa mirathi.
Wajuzi wa Mambo hayo naomba mtusaidie kwa manufaa ya Jamii nzima.
Hii picha imetoka katika Gazeti la Serikali katika ile safu ya "Down Memmory lane" mara nyingi sana. Kama sikosei karibia mara 10!
Sijui Daily News wanataka kutuambia nini lakini jina la Katibu Mkuu Ujenzi siyo Mr David Mlingwa bali Dr George Mlingwa. Kosa hili limekuwa likirudiwa rudiwa sijui...
Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari
Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza bila ya kuingiliwa, kutafuta, kupokea, na kusambaza taarifa na mawazo ya aina...
Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana
Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu Awaweke SAWA
else mkishindana mtatuongezea majani pale kinondoni ama mbwen na ununioo
Anza kuchukua...
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao...
Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi...
MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA)
Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni:
1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa.
2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa...
Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla amesema wananchi wana haki ya kikatiba ya kuisema na kuikosoa serikali iliyopo madarakani. Dkt Kigwangalla amesema yeye haoni tabu kukosolewa au kutukanwa mitandaoni kwa sababu hiyo ndio siasa yenyewe.
"Wizara hii hata nilipokuwa mbunge kabla sijateuliwa...
Wadau wenye usafiri tuweze shirikishana mambo mbalimbali ambayo madereva wanapaswa kuzingatia barabarani hasa kwa upande wa Haki na Wajibu wao.
Na sisi tusio na magari pia tutapata darsa hapa.maana nakumbuka miaka ile sisi tunasoma tulijifunza kwenye Geography Kilimo cha Mahindi USA lakini...
Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi,Hadson Magomba,ambaye yupo kitengo cha mipango miji katika jiji la Dodoma kwa kushindwa kutenda haki kwa wananchi.
Katambi ametoa agizo hilo baada ya kupokea malalamiko yaliyotolewa na Mdala Mazengo wakati wa mkutano...
UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard Morrison, kujiunga na klabu hiyo kinyume cha sheria na ikitaka haki itendeke na hatua stahiki...
Nawaambia haya, kwa uzoefu wangu ndani ya Serikali, CCM na kwenye Idara Nyeti za nchi hii. Nisikilizeni na muelewe:
1. Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni zaidi ya uchaguzi kati ya CCM na vyama vya upinzani. Uchaguzi hubeba mustakabali wa nchi kiusalama, kiuchumi na kadhalika. Kuuchezea uchaguzi ni...
JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma ameitaka Mahakama kuacha kuchelewesha haki kwani ndiyo chanzo kikubwa cha rushwa katika mhimili huo.
Profesa Juma alitoa kauli hiyo jijini hapa jana wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Masuala Kupinga Rushwa Nchini lililoshirikisha vyombo...
Yaani watumishi wa Umma sijui hawajitambui mnakwama wapi vimafao vyenyewe vidogo lakini mstaafu anaangaika zaidi ya miaka kufuatilia wengine mpaka mauti yanawakuta na hajaona hayo mafao yake.
Wenzenu wabunge yaani miaka mitano mzigo wa maana na hauchukui hata siku mbili tayari unakua umetoka...
Bajeti za Afrika Mashariki zilisomwa kwa pamoja siku ya Alhamisi lakini magazeti na vyombo vya habari vya Tanzania havijajadili bajeti ya mtanzania bali kuanzia bungeni hadi mtaani mjadala ukuwa wa mbowe na masihala na mjadala wa bajeti unaohusi maisha ya watanzania ukawekwa kapuni.
Kwa nchi za...
Iko hivi, ndoa ni mkataba kati ya mke na mume, na mkataba huo una masharti mengi ikiwemo haki ya tendo la ndoa, sasa inapotokea mwanandoa ananyimwa haki hii moja kwa moja mkataba unakuwa umevunjwa kwani masharti ya mkataba hayajatimizwa.
Haki hii ni lazima iwe imevujwa kwa makusudi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.