Salaam, Shalom!!
Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni.
Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani.
Umeenda mbali zaidi na Kutoa...
Kwa muda mrefu sasa Marekani imekuwa ikijinasibu kuwa ni kinara wa usawa duniani, ikijitangaza kwa msingi wa katiba yake na maadili yake, inatenda haki kwa watu wake wote bila kujali rangi, dini au wanakotoka. Na mara nyingi ikiwa ikitumia kisingizio hicho kama ni mamlaka ya kimaadili, na...
Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo.
Wanawake hao wanapaza sauti zao bila ya hofu wala jazba lakini kiufundi Sana wanaonesha hasira zao dhidi ya Serikali ya nchi...
Hakuna namna Lissu hataki siasa za maridhiano za Mbowe na kwenda kulia lia kwa wakubwa wa Dunia baada ya kujitoa pale rafu zinapokithili. Lissu anasema ukiteuliwa na Chadema ukajitoa au maafisa uchaguzi ngazi za vijiji na kata wanaoishi nao au polisi wakishiriki kuiba kula itakuwa halali yao...
UTANGULIZI
Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii:
Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
haki
huduma
ict
katika
kidijitali
kuimarisha
kutunga
matumizi
mtandao
sekta
sera
serikali
sheria
tanzania
tanzania tuitakayo
tehama
tuitakayo
tunahitaji
usalama
uwezo
uzalishaji
viwandani
watumiaji
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu.
Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
Salaam, Shalom!!
Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo.
Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe...
1:Elimu ya Uraia: Elimu ya uraia ni muhimu sana katika kuongeza ushiriki wa wananchi. Wananchi wanapaswa kuelewa vizuri madhara ya rushwa katika jamii na uchumi wa nchi. Wanapaswa pia kufahamu haki zao na jinsi gani wanaweza kuchukua hatua pale wanapokutana na rushwa. Elimu hii inaweza kutolewa...
Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote.
Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya nchi yake.
Tukisema rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania hatukosei hata kidogo walio wahi kutana na...
Kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same,
Kumradhi,
Ninaandika andiko hili kwa lengo la kumtetea Naibu Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere, ambaye anashikiliwa kwa tuhuma za kupiga picha lori la mafuta lililoanguka. Kwa kutumia hoja zifuatazo za kisheria na kikatiba, ninaomba Manyerere aachiliwe...
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo.
Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
Kila maamuzi anayotoa Waziri wa Ardhi na Makazi na maendeleo ya Nyumba, Jerry Silaa ujumbe anaoutoa ni kwamba mifumo ya utoaji haki kwenye Taifa letu imeoza.
Mabaraza ya Ardhi mpaka mahakama zetu zinatoa maamuzi yake kuhusu migogoro ya Ardhi kwa kuegemea zaidi mambo ya kiufundi (technicalities)...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewataka Askari na Maafisa wa Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kutenda kazi kwa kufuata haki na uadilifu katika kuwahudumia wananchi baada ya Askari na Maafisa hao kupandishwa vyeo na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri...
Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara - Tanganyika Law Society(TLS) iliandaa Warsha kwa Wanahabari Jijini Dodoma Tarehe 4 Juni 2024 kuhusu Uhuru wa kujieleza. Hapa chini ni andiko la Mwanahabari Mkongwe mbaye pia ni Mwenyekiti wa Muungano wa Mabaraza ya Habari Afrika Mashariki (East Africa Press...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa.
Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
Utangulizi:
Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo.
Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara akitokea Mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.