Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,978
- 32,387
Wanaukumbi.
MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA HAKI YAIKUTA NA HATIA ISRAELI 🇮🇱
Mahakama ya Haki ya Kimataifa imethibitisha kwamba taifa la Israeli limevunja makubaliano ya vifungu vya mauaji ya kimbali pale Gaza.
Aidha katika maelezo ambayo yametolewa na majaji wa mahakama hiyo, wamekataa ombi la Israeli la kuifuta kesi hiyo kwa maana wameona kuna vipengele vya msingi ambavyo wanatakiwa kuwajibika.
“Afrika Kusini imeonyesha ushahidi wa kutosha kwamba kesi dhidi ya Israeli ni halali, kuna ushahidi mkubwa kwamba mauaji ya halaiki yanawezekana kufanywa hivyo hatua za muda zitachukuliwa”
"Mahakama inafahamu kwa kina ukubwa wa maafa ya kibinadamu yanayoendelea kutokea katika eneo hilo na ina wasiwasi mkubwa juu ya kuendelea kupoteza maisha na mateso ya binadamu”
Mahakama ya Kimataifa ya Haki imefanya maamuzi yafuatayo;
✅ Israeli lazima isitishe mashambulizi dhidi ya Wapalestina.
✅ Israeli ni lazima iruhusu misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.
✅ Kuandaa ushahidi na kuufikisha mbele ya mahakama ndani ya mwezi 1.
Kumekucha na makucha yake 🫵🏻
View: https://www.youtube.com/live/FRsprNTNiNM?si=voS4GQF8zb35akLP