haki

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi wanayashikilia magari 25 kukiuka amri ya IGP kwa kuyafunga magari yao ving’ora na taa kali

    Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limefanikiwa kuyakamata magari 25 kwa kukiuka amri ya IGP kwa kuyafunga magari yao ving’ora na taa kali pamoja na gari jingine jipya aina ya Probox kukutwa likitumia namba ambazo zipo kwenye gari lingine. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Jijini Dodoma...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huru na haki maana yake nini?

    Je, mpinzani akishinda ndiyo huru na haki? Au kuna vigezo vingine?
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shibuda: Rais Magufuli hakufurahishwa na yaliyotendeka kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Uchaguzi Mkuu uwe wa Haki na Usawa

    JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amesema Rais John Pombe Magufuli, aliumizwa na sintofahamu iliyojitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa tarehe 24 Novemba 2019. Shibuda amesema hayo leo Ijumaa tarehe 17 Julai 2020 wakati akizungumza katika warsha ya wadau...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unawaonesha cha kuwatendea Watumishi wa Umma lakini Ndumbaro na Mkuchika wao hawajui kuitenda hiyo haki hata sasa

    Rais wangu hujali gharama, anatoka mtu unaweka mtu. Hata kama katoka ncha nyingine ya nchi hujali gharama za kumhamisha. Unawapa ulaji. Hasa wale watumishi wenye elements za kiutumishi. Safi sana! Aliyechukua nafasi ya Katambi wa Dodoma anatoka Geita, anakuja kulipwa mahela na masalahi mengine...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Huru na wa Haki, ni haki ya Wananchi wala siyo hisani ya Watawala ama Viongozi walio madarakani

    "Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa" Tunapoelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani ni vyema tukawakumbusha waliopewa dhamana ya kusimamia zoezi upigaji na uhesabuji kura kuwa, ni haki ya wananchi kutangaziwa matokeo sahihi kulingana na jinsi...
  6. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

    Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar...
  7. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Unyonge isiwe sababu ya kuwanyima watanzania haki zao! Unyonge wenyewe, umesababishwa na mafisadi wa CCM!

    Wanajamvi, Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu... Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, bila ya kujali ni chama gani kipo madarakani, basi wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka kwa Askofu Mwamakula: Haki haiwezi kufa

    SAUTI YA ASKOFU KWA WATETEZI WA HAKI KATIKA JAMII! Haki haiwezi kufa! Mtu anaweza kuwaua watetezi wa haki, lakini hawezi kufanikiwa kuiua haki! Haki haiwezi kununuliwa! Mtu anaweza kuwanunua wapigania haki, lakini hawezi kuinunua haki yenyewe! Haki haitishwi! Mtu anaweza kuwatisha watetezi wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu

    9 Julai 2020 Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu Source : Jenerali Online Dhana ya Msamaria Mwema niliyoitumia kuhitimisha makala yangu ya mwisho ni muhimu sana katika falsafa ya kisasa kwa maana kwamba inaelezea wema unaotendwa na mtu ambaye...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania GE2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Haki za Binadamu na haki za watu wa Umoja wa Afrika (Mkataba wa Afrika)

    Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa kuzingatia misingi ya sheria. Tume ya Haki za Binadamu na Haki za Watu ya Umoja wa...
  12. Segekid

    JamiiForums Tanzania Sheria na utaratibu baada ya mtumishi wa Serikali kufariki

    Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah. Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya Serikali na utaratibu wa mirathi. Wajuzi wa Mambo hayo naomba mtusaidie kwa manufaa ya Jamii nzima.
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Daily News, itendeeni haki hii picha

    Hii picha imetoka katika Gazeti la Serikali katika ile safu ya "Down Memmory lane" mara nyingi sana. Kama sikosei karibia mara 10! Sijui Daily News wanataka kutuambia nini lakini jina la Katibu Mkuu Ujenzi siyo Mr David Mlingwa bali Dr George Mlingwa. Kosa hili limekuwa likirudiwa rudiwa sijui...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya tasnia ya habari, uhuru wa kujieleza na dhana ya Haki za Binadamu

    Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza bila ya kuingiliwa, kutafuta, kupokea, na kusambaza taarifa na mawazo ya aina...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mume hanyimwi tendo la ndoa. Mpe haki yake, soma maandiko

    Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu Awaweke SAWA else mkishindana mtatuongezea majani pale kinondoni ama mbwen na ununioo Anza kuchukua...
  16. Gmox

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni haki tena ni vema Rais Magufuli akapita bila kupingwa uchaguzi mkuu 2020

    Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli. Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, unaijua mikataba ya Haki za Binadamu ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini?

    MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA) Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Wananchi wana haki ya kuikosoa Serikali, na hiyo iko kikatiba

    Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla amesema wananchi wana haki ya kikatiba ya kuisema na kuikosoa serikali iliyopo madarakani. Dkt Kigwangalla amesema yeye haoni tabu kukosolewa au kutukanwa mitandaoni kwa sababu hiyo ndio siasa yenyewe. "Wizara hii hata nilipokuwa mbunge kabla sijateuliwa...
  20. GuDume

    JamiiForums Tanzania Dereva fahamu HAKI na WAJIBU wako unapokutana na Traffic Barabarani kuepusha Migogoro

    Wadau wenye usafiri tuweze shirikishana mambo mbalimbali ambayo madereva wanapaswa kuzingatia barabarani hasa kwa upande wa Haki na Wajibu wao. Na sisi tusio na magari pia tutapata darsa hapa.maana nakumbuka miaka ile sisi tunasoma tulijifunza kwenye Geography Kilimo cha Mahindi USA lakini...
Back
Top Bottom