nimetoka kuingalia filamu ya 'Dragons Forever' ya kina Jackie Chan, Sammo Hung na Yuen Biao hivi punde kupitia Rembo tv. dah, nimekumbuka mbali sana........ucheshi, uchangamfu na uhalisia uliopo humo ukanikumbusha na filamu zingine nyingi za namna hiyo za miaka ya 90 zilizojaa raha na burudani...