Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,671
218,174
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

========

NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
 
Gazeti la nchi gani hili mkuu🤔??

Kama ni tz nini chanzo? Je nini hatima ta mambo haya? Jana Dangote manusura afunge kakiwanda kake ka visiment leo hiki kikampuni☺😐?

Any way mwisho wa siku tutaona nani winner kati ya wanaoiombea shari serikali na sisi wazalendo.

#jr (uvccm - taifa)
 
Back
Top Bottom