habari

  1. E

    JamiiForums Tanzania Maaskofu chonde; hubirini habari njema za ufalme wa Mungu na sio ufalme wa dunia hii

    Maaskofu, Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho. Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana. Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri. Hubirini...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari vya magazeti yetu vinaanza kubadilika

    Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo yanayoliondoa Taifa kwenye kutumia mabavu na kujielekeza kwenye kutumia akili katika ukusanyaji kodi bila kuathiri walipakodi. Mbali na hivyo, Nape alisema pia Rais Samia ameonyesha nia ya kuliongoza...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu mwandishi nguli mbona simsomi? Habari za weledi hazikuwepo wakati wa hayati JPM?

    Sijamuelewa kabisa huyu mwandishi nguli ana maana gani? Yaani enzi za hayati Magufuli kulikuwa hakuna weledi? Alikuwa anafanya kazi kwa kuangalia watu?
  4. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano na Habari

    Habari 👋 Naomba siku ya leo nitoe ushauri na mapendekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuhusu wizara hii ya teknolojia, mawasiliano na habari. Sifahamu Dr. Faustine Ndugulile kipi kimemtatiza katika hii wizara. Sina shaka na utendaji wake lakini nadhani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Madagascar yajisajili kwenye mpango wa chanjo za bure, COVAX

    Mabibi na mabwana pana habari za kutia moyo sana tokea kwa wale magwiji wa tiba ambako mh. Kabudi aliwahi kufuata dawa ya kutibu Corona kwa niaba yetu. Hatimaye Madagascar rasmi wamejisajili leo kwenye ule mpango maarufu wa chanjo za bure COVAX...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Usichapishe habari kabla ya kuhariri

    Kuhariri ni kazi muhimu sana kwenye tasnia ya kupasha habari. Nakala ambayo haijahairiwa si vyema kutumwa kwa umma kwa kuwa mara nyingi huwa na makosa kutokana na waandishi kufanya kazi kwa haraka sana. Timu ya uhariri, inayoitwa pia dawati la wahariri, inafanya kazi kubwa ili kuhakikisha kuwa...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania JamiiForums linaweza kuwa darasa zuri sana la waandishi wa habari wanaoiona fursa hii

    JamiiForums ni darasa huru ambalo kama mtu anatamani kuwa mwandishi bora kabisa wa masuala mbalimbali anaweza kujiona na kufikia viwango vya juu sana. Nashauri waandishi wa habari najaribu kuitumia fursa hii ili kuepusha uandishi holela na kurupushi. Nakiri kujifunza mengi sana yanayohusiana...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

    Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe 1/4/2021 kwenye ofisi za Makao Makuu yake . Waandishi wote mnakaribishwa lakini mnakumbushwa kuzingatia...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Msalaba Mwekundu wakanusha habari ya Watu kuzimia huku wameshikilia mifuko yao

    Mratibu wa Red cross Mkoa wa Mwanza amesema kwamba hakuna mtu yeyote aliyezimia akishikilia mfuko wake mkononi wakati wa kuaga mwili wa Dr Magufuli Mkoani humo. Bali kilichotokea ni kwamba maofisa wa Red cross walikuwa wanawavisha mifuko ama mikoba yao mikononi waombolezaji hao waliozimia ili...
  10. Plant Operator

    JamiiForums Tanzania Hellow, habari zenu?

    Habari zenu wana JF wote, mimi ni new member, japo nilikuwa na peruzi bila kujisajiri, Natumai nitapata mengi ya kujifunza na kuchangia pia pale inapobidi. Asanteni.
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi na watoa taarifa

    Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG . Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu. Rais Samia Suluhu amesema haya. ''Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi pamoja na watoa taarifa. Wakati mwingine watu wanakataa kwenda kutoa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimekufa na sasa wachekeshaji na wanamziki ndio watangazaji wanaosikilizwa

    Wamiliki wa vyombo vya habari hasa ITV, TBC na Star TV mlikuwa wapi hadi vyombo vyenu vimepoteza mvuto kiasi hiki? Leo watu wanasikiliza vipindi na kuangalia wasafi, clouds, TV E, na media mpya mpya ambazo asilimia kubwa ya watangazaji si wanataaluma ya habari niwasanii na wanamziki...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hospitali bora ya uzazi kwa Moshi

    Naomba anayefahamu hospital nzuri kwa mambo ya uzazi. Kwa mfano kama mtu anahitaji kwenda kupima ubora wa mbegu za kiume.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Aliyesambaza habari ya El Merreikh Covid 19 kawageuka baada ya kujistukia ujinga wake

    unajua alivypost watu walimuuliza signature ya verifier iko wapi? Mbona hiyo tarehe ni after match ina maana wana depart mbona hu post kwamba kule Sudani wachezaji wao 17 walikutwa na covid tarehe 5 march kesho yake tarehe sita wakapungua hadi watano? Simba inahusika vipi na vipimo na ili hali...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

    Ndugu Mwandishi wa Habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka CHADEMA . CHADEMA
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Kama mnavyofahamu siku zote ni kwamba CHADEMA ndio inayoonyesha na kupanga Dira ya Taifa , ambayo kwa bahati nzuri wananchi wanaitekeleza , sasa tega sikio ujue ni mwongozo gani utatolewa.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Habari zenu natafuta marafiki umri 30-39

    Habari zenu naitwa esarisa nipo dar nina miaka 30.natafuta marafiki umri 30-39 nicheck tafadhalii
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania 'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

    Usiku huu, Aloyce Nyanda (Mtozi) amekuwa na kipindi muhimu katika Star TV usiku huu. Agenda Kuu ilikuwa ni Maadili ya Uandishi wa Habari kufuatia Vyombo vya Habari vya mataifa mengine kuripoti taarifa kuhusu Rais Magufuli pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa wahusika yaani Serikali ya Tanzania...
  20. Mpandisha mishahara

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama! Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
Back
Top Bottom