habari

  1. J

    JamiiForums Tanzania Polepole azungumza na waandishi wa habari akiwa na ulinzi wa wasaidizi wake wote wanawake

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake. Taarifa kamili inakuja.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abbas: Serikali ipo tayari kufanya mabadiliko yoyote kwenye kanuni au sera ya habari

    Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini. Hayo yameelezwa na katibu mkuu wa wizara hiyo, Dk Hassan Abbas leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akifungua kongamano la wadau...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini kuhusu taarifa za habari na vipindi vya TBC?

    Habari wadau..! Hii inaitwa kutesa kwa zamu,upepo sasa umechange mambo yote bomba. Kiufupi TBC walikuwa hawaripoti sana habari za Zanzibar lakini kwa sasa mambo fifty fifty habari za Zanzibar zinapewa nazo airtime tofauti na zamani, zamani Chato ndio ilikuwa haikauki masikioni .
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini nifanye ili niweze kutatua tatizo la gari yangu aina ya Toyota Corolla Fielder

    Habarini wapendwa kwema!!! Nina gari yangu aina ya Toyota corolla fielder shida kubwa kila nikiiwasha inawaka halafu inazimika nikirudia tena bado inazimika, ila ukiiwasha halafu ukaikanyangia moto hata kwa dk 3 mpk 5 ikishapata moto engine ndo inawaka. Nimeshaipeleka kwa fundi lkn bado shida...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ndugulile afungua mkutano wa 41 wa Sourthern Africa Telecom Association(SATA) wa nchi za SADC

    Waziri wa Mawasiliano Teknolojia na habari Dkt. Faustine Ndugulile amefungua Mkutano wa 41 wa mashirika na makampuni ya mawasiliano katika nchi za Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC) unaojulikana kama Sourthern Africa Telecom Association (SATA) ambapo nchi ya Tanzania kupitia Shirika la...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Stereo Singasinga album yako kali sana, inabidi ujiongeze

    Moja kati ya wasanii wachache wa Hiphop nchi hii naoweza kukaa na kuwasikiliza ni Stereo aka Singasinga aka Chundabadi. Katoa album kali sana inaitwa Experience, naweza sema ni kati ya album kali sana za Hiphop ya kizazi hiki. Nachoshangaa ukienda YouTube hakuna wimbo uliofikisha views 100...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Habari! Kwanamna gani unaweza kuomba ufadhili wa kusomeshwa au kufadhiliwa masomo kwenye NGO Kama help to help

    Unawezaje kuomba ufadhili wa masomo diploma kwa NGO help to help
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Naomba habari kuhusu hii Mbeya kwanza. Iliyopanda ligi kuu.

    Imamilikiwa na nanni? Kocha wake nani
  9. U

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

    Kimbunga Jobo chawa dhaifu baada ya kukaribia kuingia Tanzania Madhara ya kimbunga hicho sasa kupungua hivyo tuendelee kuchukua tahadhari Mungu ni Mungu Aksanteni kwa Maombi yenu Watanzania TMA UPDATES
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions) naomba anisaidie

    Habari za leo ndugu zangu, Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu. Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions)...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watetezi wa 'Legacy' ni kipi katika haya mabadiliko msichokipenda?

    Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote? Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali? Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena? Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Askari DEREK CHAUVIN akutwa na hatia ya mauaji ya George Floyd

    Wazee wa baraza katika kesi ya mauaji ya mwafrika mmarekani George Floyd wanatarajiwa kurejea mchana huu na majibu ya hatia kwa mashtaka yote matatu. Derek Chauvin ambae alikuwa askari polisi alimwekea goti shingoni George Floyd kwa dakika tisa na sekunde 29 alipokuwa akimkamata na kusababisha...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa hababari wamekuwa wabaguzi kuripoti habari za uvunjifu wa haki za binadamu. Ila wao yakiwakuta ndio midomo juu

    Kuna habari inatembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwandishi wa gazeti la mwananchi huko Zanzibar amepigwa na kudhalilishwa na wana usalama huko Zanzibar. Inadaiwa maafande wa KMKM walimvamia na kumpa kichapo kisha kumtesa na kumlazimisha avunje simu yake aliyotumia kuwapiga picha wakati...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari. Yashika nafasi ya 124 kwa mwaka 2020

    Reporters Without Borders (RSF) imeitaja Tanzania kushika nafasi ya 124 kati ya Nchi 180 Duniani katika kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari ili kutetea Haki ya kupata taarifa kwa Jamii. Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari ambapo mwaka 2019 ilishika nafasi ya 118 huku...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma

    Taarifa inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za Kanda ya Kati Jijini Dodoma kesho Tarehe 21/4/2021, kuanzia saa 5 kamili asubuhi . Wote Mnakaribishwa . Muhimu : Zingatia mwongozo wa WHO kuhusu janga la corona =========
  16. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
  17. chakii

    JamiiForums Tanzania JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    “Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey ---------- Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Gazeti la Tanzania Daima wafika ofisi za Wizara ya Habari na Michezo kwa Majadiliano kuhusu hatima ya gazeti hilo

    Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao . Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wizara ya habari kuchunguza tukio la DED wa Temeke kuwaweka chini ya ulinzi waandishi kwa kufika kwenye kikao chake bila mwaliko

    Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Temeke, Mwakabibi awasweka ndani waandishi wa habari ili wasihudhurie kikao chake na wafanyabiashara

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara. Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi...
Back
Top Bottom