habari

  1. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua dawa ya kipele kigumu ambacho hakiumi ila nilikichokonoa kinatoa damu mara kwa mara

    Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    Habari zenu jamiiforums Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
  3. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania ISIS Msumbiji kwisha habari yao

    Zimbabwe imethibitisha kupeleka makomandoo wake Msumbiji kulisambaratisha kundi tishio la kigaidi. Hao Zimbabweans special force ni hatari katika mbinu za kimedani attacki, counter terror and offensive. ISIS Msumbiji kwishney. Saguda47
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Kampala Uganda vyombo vya habari duniani ikiwemo TBC viko mubashara.

    Rais Samia Sukuhu Hassan amewasili Kampala nchini Uganda na kupoke!ewa na Rais Yoweri Museveni. Watu wote akiwemo Rais Samia wamevalia barakoa Tukio liko mubashara TBC!
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Watanzania waanza tena kufuatilia taarifa za habari za TV Majumbani mwao

    Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea afika Wizara ya Habari Kuonana na Waziri Bashungwa kuitikia wito wa Rais wa kufungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa kibabe

    Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe . Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kuwasomea ' Albadiri ' Waandishi wa Habari za Michezo wanaoiandikia, kuisemea na kuihujumu

    Hivi Klabu inawezaje Kuwatishia Waandishi wa Habari za Michezo hasa kuwataka wawe tu Wanaandika na Wanatangaza Mema (Mazuri) tu ya Yanga SC ila yale mabaya Wawe wanayaficha kwa Umma wa Wanamichezo? Haya sasa kwa taarifa ( zisizo rasmi bado japo nimezikisikia hivi punde kutoka Clouds FM Kipindi...
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa kauli ya Rais na hofu ya serikali dhidi ya vyombo vya habari

    Ukifatilia kwa makini mjadala unaoendelea wa kauli ya Rais dhidi ya vyombo vyahabali utajiuliza nini hofu ya serikali dhidi ya vyombo habari, hii nikwasababu haihitaji mtu uwe na PHD kuelewa kuwa Rais alitoa agizo vyombo vyote vya habari vilivyofungwa vifunguliwe. Kwa mfano kwanini eti aseme ni...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

    CAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu. Updates; ======== CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39 TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya bilioni 770.1 kutoka kwa wakandarasi na wahandisi washauri kutokana na kuchelewa kupata fedha za...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya viongozi wa Wizara ya Habari, Katibu Mkuu Kiongozi ataweza kutekeleza ahadi yake ya kuunganisha Serikali?

    Ngoma aliyopiga Mhe Rais kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari imewachanganya wachezaji na kila mmoja anacheza kwa style yake Kama ifuatavyo; 1. Gerson Msigwa alileta barua ndeefu inayotamka vyombo vilivyofungiwa vifunguliwe, Mkurugenzi Ikulu 2. Baadaye kidogo Dr. Abbass akaja na kauli kwamba...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

    Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Rais Samia amesema...
  13. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Jukwaa la Wahariri na Wamiliki wa vyombo vya habari nchini

    Wasalaam wapendwa Wanajukwaa. Napenda kutoa wito kwa Jukwaa la wahariri na wamiliki wote wa vyombo vya habari nchini kupanga siku maalum ya kukutana na kufanya vikao vya dharura kujadili kauli ya Mhe Rais wetu Mama Samia Suluhu ambaye kwa nia njema kabisa na kwa utashi wake wa kutaka...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

    Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi. Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa? Je, hawaaminiki tena?
  15. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abassi: Agizo la Rais Samia kufungulia vyombo vya habari linahusu televisheni za mitandaoni pekee

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. --- Huyu ni kichwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni vyombo vya habari kipindi cha maombolezo

    Ikiwa leo ndio siku ya mwisho ya MAOMBOLEZO ya kitaifa kwa Hayati Rais Magufuli nitoe kongole kwa VYOMBO vyetu vya habari hususani vituo vya radio na televisheni kwa weledi wa hali ya juu hasa kwenye mpangilio wa vipindi(content) pamoja na nyimbo za MAOMBOLEZO. Kwa hakika mmedhihirisha ule...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Tanzania vinaripoti, havichambui. Tatizo lipo kwenye taaluma au ni kukosa wachambuzi?

    Kwanini matukio yote yanayotoka serikalini yanaripotiwa lakini hayachambuliwi na vyombo vyetu vya habari? Mfano, toka uteuzi ulipofanyika jana hakuna habari mpya kuhusu wateuliwa isipokuwa kile alichoripoti Msigwa. Nini Tatizo?
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa karibu Idara ya Habari Maelezo, kitovu cha majungu, nyumba ya lawama ikiwa utakubali kutumika

    Kuna Tofauti kubwa sana kati ya kuwa Msemaji wa Ikulu na kuwa Msemaji wa Serikali ama kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo , Ikulu unaongea wewe tu na wala huhojiwi na mtu yeyote , kuna maswali uchwara tu yaliyojaa uoga uoga hivi , tena unaweza hata usiyajibu na shughuli ikaisha tu. Idara...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Clouds Media muombeni msamaha Rais Samia, mmemkosea sana

    Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo? Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la leo.
Back
Top Bottom