nimetoka kuingalia filamu ya 'Dragons Forever' ya kina Jackie Chan, Sammo Hung na Yuen Biao hivi punde kupitia Rembo tv. dah, nimekumbuka mbali sana........ucheshi, uchangamfu na uhalisia uliopo humo ukanikumbusha na filamu zingine nyingi za namna hiyo za miaka ya 90 zilizojaa raha na burudani tele.
mawazo yakanileta mpaka kwenye filamu za sasa ambazo zimejaa 'usayansi' mwingi hadi kero...........
jamani, hivi raha ile ya filamu itarudi kweli au ndo basi tena dunia imeshajiendea zake?!!!!
napata tabu sana!!!!!