Vita vya Israel-Gaza vimeleta madhara makubwa kwa waandishi wa habari tangu Hamas ilipoanzisha shambulio lisilotarajiwa dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7 na Israel kutangaza vita dhidi ya kundi la Wapalestina lenye itikadi kali, likifanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza uliowekwa vizuizi.
CPJ...
Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe.
Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo.
Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu .
======
Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu"
Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote...
Hii dunia ni ngumu sana. Kwamba IDF inataka tuonyeshwe wanachotaka wao?
Hii sasa si ndiyo ile ya mambo zetu na VPN na wale waheshimiwa wa pande za kwetu? Au zile mambo zetu na jamiiforums.co.tz badala ya jamiiforums.com?
Kwamba IDF kaona mahandaki ya HAMAS hospitalini, ila tuonyeshwe tu vile...
Kwanza naomba mods msihamishe uzi huu kwa kuupeleka kwenye jukwaa la dini maana nataka tumjadili huyu Shetani katika misingi ya maisha yetu ya kila siku na si katika misingi ya dini.
Naileta mada hii kwa tahadhari kubwa sana. Sina nia ya kumpromote huyu jamaa ila nadhani imefika wakati...
Wanaukumbi.
It is important to note that there is an alleged Israeli media blackout surrounding the exact details of the exchange.
However, some sources are publishing indications that suggest there is an alignment on a potential prisoner exchange, and it is getting closer:
- Netanyahu's...
Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.
Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari...
🇳🇬🗣️ John Obi Mikel:
Baba yangu alitekwa nyara wakati nilipokuwa nikiichezea Nchi yangu Nigeria katika Kombe la Dunia la Mwaka 2018 lililopigwa nchini Urusi.
Tulikuwa tunakaribia kucheza dhidi ya Argentina.
Masaa mawili kabla ya mchezo nilipata simu kutoka kwa Ndugu yangu akisema baba yangu...
Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea.
Baada ya hapo hospitali hizo...
https://www.youtube.com/watch?v=dPisTx-swGs
Leo tarehe 9 Novemba 2023, JamiiForums inashiriki katika Mkutano wa 5 wa Wiki ya Vyombo vya Habari vya Uganda, ulioandaliwa na Taasisi ya Media Focus on Africa Uganda. Mkunano huo unafanyika jijini Kampala.
Mkutano huu unajadili kuhusu mustakabali wa...
Habari Potofu ni Taarifa au Maelezo yaliyobuniwa kwa kuiga mtindo fulani ili zionekane zina ukweli au halisi. Taarifa hizi hulenga kuleta Athari fulani, kuzua Taharuki au kudanganya Umma.
Unaweza kubaini taarifa potofu kwa kufuata hatua hizi:
Tathmini (thaminisha) chanzo
Hakikisha kwamba...
Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana?
Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika.
Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!!
JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
Baraza la Habari Tanzania (MCT) liliungana na Dunia katika kuadhimisha siku ya kukomesha na kuondosha kabisa vitendo vya ukatili dhidi ya waandishi wa habari (International Day to End Impunity for Crimes Against Journalists).
Kila mwaka siku hii imekuwa ikiadhimishwa kutokana na vitendo...
Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa.
Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu.
Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri.
Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi.
Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu.
Ukiwa na ukuta mweupe blue...
Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi.
Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.