godwin gondwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    DC wa Kinondoni Godwin Gondwe hivi ile IQ yako Kubwa ninayoijua imepotelea wapi?

    Yaani unahojiwa na Radio One kupitia Mtangazaji wao Godfrey Monyo kuhusu Kukosekana kwa Maji Wilaya anayoishi GENTAMYCINE ya Kinondoni badala ya Kujibu Kiufasaha na Kiutaalam Wewe unaanza Kujibu Kisiasa Kisiasa huku muda wote ukibabaika babaika tu. Godwin Gondwe ( DC Kinondoni ) nakufahamu...
  2. Elitwege

    Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

    Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini. Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
  3. Shujaa Mwendazake

    DC Gondwe unazuiaje mkutano mkuu wa msikiti wakati Katiba yao imekiukwa mwaka wa pili sasa?

    Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe. Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu haujafanyika kwa miaka miwili sasa. Hivi karibuni kupitia michango na jitihada zao wamejenga jengo la ghorofa...
  4. GENTAMYCINE

    Kwanini Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe pamoja na 'Kukuru Kakara' zao zote Marais wanasita Kuwapandisha vyeo, ila kwa wengine wanapanda fasta?

    Enyi Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe na Iringa Richard Kasesela nitafuteni GENTAMYCINE upesi ili niweze 'Kuwabariki' na 'Mkono' wangu wa 'Baraka' ili nanyi msiwe mnasahaulika Kupandishwa 'Vyeo' Serikalini japo huwa 'mnachakarika' sana kwa Msaada wa Makamera ili Juhudi zenu zionekane...
Back
Top Bottom