gari

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia

    Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter truth.” Kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili tunaweza itafsiri kama “Hakuna urafiki bila maslahi...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  3. JamiiForums Tanzania Ushuhuda, kuagiza gari na befoward

    Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard mpaka sasa ni milioni 24 na gari haitembei maana ilikuja mbovuu haifai. Mpaka matengenezo gari imekula...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  5. JamiiForums Tanzania Gari yangu imeingia maji

    Habari za majukumu wakuu? Gari yangu aina ya Toyota RAV 4 miss TZ jana ilinasa kwenye dimbwi la maji kwenye kina kirefu kidogo ikabidi mpaka tuite watu yale magari ya breakdown waje waitoe baada ya juhudi zetu kugonga mwamba. Sasa wakuu kwanza gari baadae ikagoma kuwaka kabisa tukachaji betri...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari ukiwa Tanzania sio jambo la mchezo... yataka moyo.

    Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh 10m itakulazimu uandae kiasi kama hicho ndani ya siku 45 ulipie kodi na gharama zingine za kuingiza...
  7. JamiiForums Tanzania Inakuaje gari ni mpya ila namba ni ya zamani

    Wakuu na wataalam hawa haya maswala, inakuaje gari ni mpya toleo la karibuni lakini namba ya usajili unakuta ni ya mwaka 2001 huko. Naombeni mnijuze
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Uwepo wa mpango wa huduma ya gari kwa kila kaya kwa msamaha wa kodi

    UTANGULIZI Inaweza kutafsiriwa kama umaridadi kuwa na gari kila kaya, lakini ndivyo ukweli ulivyo kuwa gari kila kaya ni mwarobaino wa vifo vinavyotokana na umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya maeneo na ukosefu wa usafiri wa uhakika pamoja na miundo mbinu duni hasa kwa mama na mtoto pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

    Wakuu, Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu. Gari nalotaka lenye thamani ya milion 8. Lisiwe bovu. Mahali mwanza Jiji
  10. JamiiForums Tanzania Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

    Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua. Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua designed na aliens. Yaani sio za generation hii kabisa. 1. Toyota Will VI Hili gari nikiliona uwa...
  11. JamiiForums Tanzania 📍Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

    Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri.. . Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Niagize gari Afrika Kusini Vs Japan?

    Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Gari kujishusha silencer

    Samahani usafiri aina ya spacio new model ikitembea umbali kdg ukiacha kukanyaga mafuta inaanza kutetemeka na kutaka kuzima mpaka ukanyagie resi kdg tatizo itakua nn wakuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bank imeuza dhamana(gari) bila kumpa taarifa mmiliki

    Ndugu wanasheria, rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria ili apate haki yake. Alichukua mkopo bank na kuweka gari yake kama dhamana, ila kwa bahati mbaya akachelewesha marejesho mpaka dhamana yake ikakamatwa na madalali. Hiyo gari yake imeuzwa bila yeye kupewa taarifa ya mnada, anakuja...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

    Wapendwa nahitaji kununua gari kati ya Carina Ti na Premio old model ipi ni bora?
  16. JamiiForums Tanzania Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili. MADA Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo...
  17. JamiiForums Tanzania Kabla ya kununua gari, hakikisha unajua bei za spea za gari unalotaka kununua

    Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba ikiwa alinunua gari milioni 100 hashindwi taa ya 1.5 m. Baadhi ya magari ni ya bei ya kawaida 15-30...
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Features za kuzingatia utakavyopanga kununua gari lako lijalo

    Wakuu kwema. Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika. Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B hafu basi. Hapana. Izo zilikua enzi za Land Rover 109 sio sahivi. Gari imekua zaidi ya chombo cha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

    Picha: Gari lililosababisha kifo cha Hayati Sokoine Katika hali ya kushangaza, watoto na baadhi ya ndugu wa aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Hayati Sokoine, wanataka uchunguzi ufanyike wa mwili wa marehemu ili kubaini kama ni kweli kifo chake kilitokana na ajali au laa. Uamuzu huo ulofikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia"?

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…